Algeria na Tunisia zazuia ndege ya Israel kutumia anga zao

Kilichoharamishwa na kisichotakiwa na uislamu ni kujipatia mali na ardhi kwa njia ya hadaa ,maguvu au dhulma. Vinginevyo Uislamu haujawagawa watu kimajimbo wala nchi. Na ukishapata kihalali kitu kuna mipaka ya matumizi sio utumie kufanyia ufisadi,unaweza ukanyang'anywa kihalali na kupewa mwengine atakayetumia kwa maslahi yaliyo mapana,
Ukiangalia mayahudi ilivyo kule Palestina ni haramu tupu na hawapaswi kuungwa mkono hata chembe .Waarabu wanaofanya hivyo ni hasara kwao.
Tuambie hawa waarabu wa Afrika Kaskazini namna walivyopata hayo maeneo wanayokalia kwa sasa.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Huko sina taarifa kamili tofauti na taarifa za uhakika za kule Palestina namna walivyofukuzwa na kuvunjiwa majumba kiasi kwamba mpaka leo kuna wazee wana funguo zile za kizamani za majumba yao.
Kabla kukupa jibu jiulize namna babu yako alivyopata ardhi aliyomrithisha baba yako ukazaliwe na wewe.Nadhani hutakuwa na jibu la maana.Sijui ni kipi kitakuwa kigeni na kipya kwa ardhi za kaskazini ya Afrika kukaliwa na watu wewe unaowachukia na ambao wametangulia kuzaliwa kabla yako.
Watu wanaoweza kuishi maisha ya hatari na wadudu wabaya wa jangwa na maeneo yasiyo na rutuba kwa maisha mingi badala ya kuwaombea dua na kumshukuru Mungu kwa uwezo wake wa kuumba unajaribu kuwaonea choyo na kupekua mambo usiyo na uwezo wa kuyabadili.
Hivi huna taarifa kwamba waislamu wa kaskazini ya Afrika ndio waliopeleka elimu Ulaya halafu ndio ikasambaa kote duniani?.
 
Acha roho mbaya wewe mmatumbi, kama una ubavu nenda kawaondoe basi na sio kuropoka,,,ndio maana mzungu anakufananisha na kima/sokwe. Ni Vizuri ivyo kufananishwa, au kutupiwa maganda ya ndizi !!!!!!!!!. Hii ardhi bwana ni ya Mwenyezi Mungu kila mtu ana haki ya kuikalia,,, na si ya mtu mweusi wala wa blue, utakufa utaicha.

Mbona mwarabu bado anauza weusi kama watumwa kaulize wadada wa kazi Uarabuni wanatupwa kutoka gorofani , kama hii dunia ni ya kila mtu mbona mnataka kufuta wayahudi palestina mnaitumia kama Chambo
 
Nchi ya mashoga hiyo, haina Baraka yeyote imejaa laana na kufru tupu.
Tutafute moral compass yako.

Kuruhusu watu kuoana jinsia moja "Kwa mapenzi yao wenyewe"(By their own free will)---Bad,mbaya sana,wamelaaniwa

Kutoruhusu watu kupractise dini tofauti na kukataza watu kubadili dini/kuacha dini yao "kwa mapenzi yao wenyewe" Na kuwaua endapo wataacha dini---Haki,
 
Sindio apo sasa! Hawa viumbe wa ajabu sijapata kuona, likitajwa tu neno waarabu/waislamu kosa, mimacho na mijasho inawatoka ndio ujue waislamu/waarabu hawatakiwi kuwepo duniani.

"Hawatakuwa radhi juu yako Mayahudi wala Wakristo mpaka ufuate mila zao" (2:120

Mnapo teka wanafunzi wa kike na kiume mnataka nini mwachwe tu mfanye mtakalo
 
Kilichoharamishwa na kisichotakiwa na uislamu ni kujipatia mali na ardhi kwa njia ya hadaa ,maguvu au dhulma. Vinginevyo Uislamu haujawagawa watu kimajimbo wala nchi. Na ukishapata kihalali kitu kuna mipaka ya matumizi sio utumie kufanyia ufisadi,unaweza ukanyang'anywa kihalali na kupewa mwengine atakayetumia kwa maslahi yaliyo mapana,
Ukiangalia mayahudi ilivyo kule Palestina ni haramu tupu na hawapaswi kuungwa mkono hata chembe .Waarabu wanaofanya hivyo ni hasara kwao.

Mbona waarabu wamekalia Nchi zote za kaskazini mwa Africa na kuwaua weusi kama wanafuta hayo basi waanze wao kuondoka
 
Mie nimesoma nao chuo tena wengi tu darasani. Nilikuwa nawasikia kwamba ni watu wenye akili sana kumbe walaaaa. Wanashinda na kukesha library.
Ila wisrael ni wa Ajabu sana,
Nimewahi ishi nao wawili,Katika mazingira tofauti,
Ni watu wanaodhani wanafikiri kuliko kiumbe chochote duniani,
Mfano mmoja siku tulikuwa tunaenda kisiwani bongoyo,
Nafahamu kabisa umbali toka slipway mpaka bongoyo,yeye he trusts he’s own watch,
Tulibishna,mwishowe tunajikuta mbudya,
Hawa watu hutowapenda naturally,
Unajikuta tu among ya watu wanaowachukia..
 
Huko sina taarifa kamili tofauti na taarifa za uhakika za kule Palestina namna walivyofukuzwa na kuvunjiwa majumba kiasi kwamba mpaka leo kuna wazee wana funguo zile za kizamani za majumba yao.
Kabla kukupa jibu jiulize namna babu yako alivyopata ardhi aliyomrithisha baba yako ukazaliwe na wewe.Nadhani hutakuwa na jibu la maana.Sijui ni kipi kitakuwa kigeni na kipya kwa ardhi za kaskazini ya Afrika kukaliwa na watu wewe unaowachukia na ambao wametangulia kuzaliwa kabla yako.
Watu wanaoweza kuishi maisha ya hatari na wadudu wabaya wa jangwa na maeneo yasiyo na rutuba kwa maisha mingi badala ya kuwaombea dua na kumshukuru Mungu kwa uwezo wake wa kuumba unajaribu kuwaonea choyo na kupekua mambo usiyo na uwezo wa kuyabadili.
Hivi huna taarifa kwamba waislamu wa kaskazini ya Afrika ndio waliopeleka elimu Ulaya halafu ndio ikasambaa kote duniani?.

Ukweli unaukwepa ndio sababu binadamu tunakuwa wabaya ,tunajifanyisha kusahau , na kutunga uongo
 
Huko sina taarifa kamili tofauti na taarifa za uhakika za kule Palestina namna walivyofukuzwa na kuvunjiwa majumba kiasi kwamba mpaka leo kuna wazee wana funguo zile za kizamani za majumba yao.
Kabla kukupa jibu jiulize namna babu yako alivyopata ardhi aliyomrithisha baba yako ukazaliwe na wewe.Nadhani hutakuwa na jibu la maana.Sijui ni kipi kitakuwa kigeni na kipya kwa ardhi za kaskazini ya Afrika kukaliwa na watu wewe unaowachukia na ambao wametangulia kuzaliwa kabla yako.
Watu wanaoweza kuishi maisha ya hatari na wadudu wabaya wa jangwa na maeneo yasiyo na rutuba kwa maisha mingi badala ya kuwaombea dua na kumshukuru Mungu kwa uwezo wake wa kuumba unajaribu kuwaonea choyo na kupekua mambo usiyo na uwezo wa kuyabadili.
Hivi huna taarifa kwamba waislamu wa kaskazini ya Afrika ndio waliopeleka elimu Ulaya halafu ndio ikasambaa kote duniani?.
yani mtu akisoma hapa atagundua wewe ni fala na 1 humu jamvini
 
Unamwambia nani.Usitafute kuhurumiwe kwa kusaidiwa hoja.Ikiwa umeshindwa kujibu au ukweli uliokuwa hukuujwa umekuuma kaa pembeni waje wenye akili kuchangia. Malalmiko yako hayamsaidii yeyote humu.
 
Nimekutana na wajinga wallahi ila sijaona aliyekufikia..
Wewe level yako uliofikia ukiona Muarabu na mama yako wamezama utaanza kumuokoa muarabu kwanza
 
Yaani, maana bora wakristo wanatakiwa kuichukia Israel kuliko waisalamu. Ukristo ni 2% wakati Uislamu ni 17% nadani ya Israeli. Na hata hii christmas hakuna Israeli kazi kama kawaida tu.
Think so?

Surat 98:6
"Verily, those who disbelieve (in the religion of Islam, the Quran and Prophet Muhammad (Peace be upon him)) from among the people of the Scripture (Jews and Christians) and Al-Mushrikun will abide in the Fire of Hell. They are the worst of creatures"

So Jews, Christians, Polytheists, atheists et al, according to the Quran are worst of creatures. We are worst than Pigs and dogs.

There you have the answers!
 
Back
Top Bottom