Elections 2010 Alfred Tibaigana kugombea Ubunge

Wadau
Ukweli unabaki ukweli. Kwenye siasa kuna deal za kifisadi. Hasa ukiwa kwenye chama tawala. Hizi deal kila mtu anazitolea macho. Ikiwemo wanachama kibao humu ndani. Kwahiyo sioni cha ajabu kwa Kamanda Tiba kuvamia siasa. Najua wengi wenu humu mtaingia kwenye siasa pia, tena kwenye chama cha mafisadi. Hatujuani kwa sura tu hapa.
 
Tibaigana kweli anayo hoteli. Hiyo Hoteli kwa kweli inatisha na sijui kwa nini kaiweka sehemu hiyo polini. Ina hadhi ya kimataifa. Nakumbuka mwaka jana kama mwezi wa 7 alileta furniture kali kutoka South Afrika ambazo hazikufiti katika Hoteli ile na furniture zote zilirudishwa huko Afrika ya kusini kwa ndege. Jamaa anatisha kwa kweli.
Lakini kinachonishangaza sijui hivyo vijisenti alivipataje wakati mshahara wake haufiki hata milioni 2?
isitoshe kwa nini asiingie chama pinzani? Hii ndio inanipa kumbukumbu kuwa mara nyingi alikuwa anapinga sana maandamano hata ya amani ya vyama vya upinzani. Kweli jeshi la polisi ni jeshi la CCM,
 
Nchi inahitaji wabunge wenye nguvu na uwezo wa kufanya kazi. Hahiitaji wabunge wa kwenda kulala bungeni na kusubiri posho. Kwa hali hiyo basi iweje mtu akistaafu akagombee ubenge? Kwani ubunge siyo kazi? Ni vyema ikatungwa sheria ya kuweka ukomo wa umri katika ubunge na uongozi wa kisiasa kwa ujumla
 
Acheni jamani hotel ina watu wengi kama mwenyewe alivyosema......ni ki shighulii...fulani awe busy..aki staafu...maana anakuwa hana kazi....amestaafu...hotel itamsaidia kuwa busy....
 
Tibaigana kweli anayo hoteli. Hiyo Hoteli kwa kweli inatisha na sijui kwa nini kaiweka sehemu hiyo polini. Ina hadhi ya kimataifa. Nakumbuka mwaka jana kama mwezi wa 7 alileta furniture kali kutoka South Afrika ambazo hazikufiti katika Hoteli ile na furniture zote zilirudishwa huko Afrika ya kusini kwa ndege. Jamaa anatisha kwa kweli.
Lakini kinachonishangaza sijui hivyo vijisenti alivipataje wakati mshahara wake haufiki hata milioni 2?
isitoshe kwa nini asiingie chama pinzani? Hii ndio inanipa kumbukumbu kuwa mara nyingi alikuwa anapinga sana maandamano hata ya amani ya vyama vya upinzani. Kweli jeshi la polisi ni jeshi la CCM,

Hio hoteli mimi niemeiona mara nyingi tu.Haina hadhi ya kimataifa.Kwa mbali inaonekana kubwa lakini ukifika karibu sio kubwa.Iko kwenye eneo ambalo inaweza kuonekana toka mbali kabla tu ya kuingia Mkuranga.Kama ile anasema yuko na wenzake,basi ni halali yake.Watu wengi wanaweza kufikiri labda ni multi story hotel na vitu kama hivyo,sio ya ghorofa
 
Dah hizi jamani tunaziita tamaa tu uroho wa madaraka wewe umezeeka kuwa mshauri tu wa sungu sungu mtaani kwetu unang'ang'ania kwenda mjengo unajipya TIBA?? si utakuwa una vibrate tu kule mjengo?huna jipya TIBA kumbe ulikuwa CCM hufai bwana pumnzika au usimamie huo mgahawa wako ukishindwa fungua security mbona utapata wateja wengi fanya hivyo mzee TIBA...........siasa hutaweza kuhimili mikikimikiki ya kina ZITO,SLAA,SEIF mzee TIBA huwezi kula mafao hayo tu...
 
Back
Top Bottom