Alfred Ngotezi hatunaye tena

R CHUGGA

Senior Member
Nov 28, 2011
124
195
BWANA ALITOA NA BWA AMETWAA JINA LA BWANA LIBARIKIWE!!!
R.I.P OUR FELLOW!!!:shock:
 

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,997
2,000
....Labda ni shinikizo la damu. Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi~AMEN
 

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
215,425
2,000
overweight could be the source.....................he was obese................heart failure is suspect here
 

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,301
2,000
OMG... one of free minds pale Daily News.. nimemsoma hivi majuzi tu (just few days ago) RIP Ngotezi. After Lusekelo, nilikuwa napenda kumsoma huyu bwana..
 

Azimio Jipya

JF-Expert Member
Nov 27, 2007
3,363
1,195

"... Alinyanyuka kwenda Kujisaidia"...
Very likely false symptoms, ... but rather caused by some kind of fluctuations of Blood Pressure!

... Tulikupenda sana lakini bwana amekupenda zaidi My Almighty God Rest your soul in Peace!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom