Chimbo langu enzi izooNapiga mixer ya Kilimanjaro na Safari Lager hapa Malaika-Dodoma.
Wewe kama mimi tu...mimi sinywei starehe nakunywa ili nileweMimi siku hizi nakunywa yoyote nayokutana nayo
Ebwana eeh wewe ndugu yangu nini? Hata mie nakunywa ili nilewe.Wewe kama mimi tu...mimi sinywei starehe nakunywa ili nilewe
yani hata ukikuta burudani unapiga tuEbwana eeh wewe ndugu yangu nini? Hata mie nakunywa ili nilewe.