Maskini father P walimchoma kisu jamani. Pumzika kwa amani.
Wewe Bily una moyo wa chuma. Unadanganya umma. Aliyekufa ni Faza Nelly wa X-plasters na sio huyu wa binti mlokole()Faza P
Daz Baba - Elimu Dunia , sikuSKip nyimbo hata moja
kumbe hili nalo kundi
Ulikuwa hujui?
Hiyo namba 3 niliipenda sana ,nikasikitika kwanini haikuwa ktk albam yake yoyote kati ya mwanafalsfani au toleo lijaloMie
1. Tshirt na Jeanz,
2. My Boo
3. Tuliza Ball
4. Sitaki demu
5. Sina demu...
Hz huwa nazipenda mpaka leo.
hivi uswahilini matola hawakua na album?
BTW wazee wa tshirt na jinsi wako wapi?
Homa ya dunia ya solo thang achana nayo kabisa
Album ya AKA Mimi by Albert Mangair. To me it is my best album.. I never get tired listening to it....RIP ngwair..
Daah,kwangu mimi album ya Wachuja nafaka yenye nyimbo kama wachuja nafaka,radhia,ya leo kali,mzee wa busara n.k ndo ilikua bora kabisa,jamaa walikamua sana na Majani alifanya yake pia,mambo ya "ndi ndi kandingindinya ,ndi ndi kandingindinya nani kamfinyaaa"......................
Hiyo album ni shiidaaa...humo ndo nigga j utamtaka ubaya na style ya michano ya kunata, kule mtu mzima terry a.k.a fanani hapa wille!ni balaa...sikiliza pini lao linaitwa "chuzi limekubali, mambo yee mambo waah"....nigga j aliikuta HBC ila kazi aliyoifanya nzito sana ktk game, nakumbuka first time kupandishwa stejini ilikuwa korean culture