Album za makundi ya wasanii ambao mpaka leo ni best katika moyo wangu

Ana miaka chini ya kumi nane ana miaka! kila nikimtazama anatazama chini sita mwita kwa jina nitamwita bint fulani, mchana mkikutana atakuita kaka na usiku pia mkikutana atakutaka sina hakika ameisha taka wa ngapi na ataua wangapi. Hapo nilimkubali 2proud.
 
Nimesha edit mkuu jina lako linanikumbusha kipindi hicho hostel za mabibo UDSM.
Wewe Bily una moyo wa chuma. Unadanganya umma. Aliyekufa ni Faza Nelly wa X-plasters na sio huyu wa binti mlokole()Faza P
 
ULIMWENGU NDIO MAMA,
-We Bishoo tu,
-Mvua na Jua
-Misosi, Mitungi na Pamba,
-Maisha ya Boarding
-Kama Unataka Demu
-n.k

Hii ndio best album ever ndugu na kaka zangu!!
 
Albam waliyotoa Daz Nundaz pia ilikuwa ni noma. Kulikuwa na ngoma za hatari kama Kamanda, Barua, Nitafanya nini, Maji ya shingo n.k.
 
Solid Ground Family mmewasahau jamani,walikuwa na nyimbo kama; Mechi kali, Baba Jeni, Kichaa kilimpanda Jely,Asubuhi Mchana na Usiku,Bush Party.

Pia Wagosi wa Kaya; Tanga kunani, Wauguzi, Trafiki, Tax Driver, Lidandasi, etc
 
Mie
1. Tshirt na Jeanz,
2. My Boo
3. Tuliza Ball
4. Sitaki demu
5. Sina demu...
Hz huwa nazipenda mpaka leo.
Hiyo namba 3 niliipenda sana ,nikasikitika kwanini haikuwa ktk albam yake yoyote kati ya mwanafalsfani au toleo lijalo
 
Bongo flava ilikuwa poa sana miaka hiyo sasa hivi kusample kumezidi sana mpaka identity imepotea kwa mwendo ule labda ingepata utambulisho wake ila kwa sasa mmmmh umepoteza dira,studio zimekuwa nyingi nyimbo hazina ubora bora liende ukisikiliza bongo flava kama kwaito au naija flava,hakuna tena radha kama ya kipindi kile cha jirushe jirushe!tingisha ya jay moe,hii leo ya east coast team,sitaki demu,handsom ya dully,mechi kali ya solid ground familly...
 
Daah,kwangu mimi album ya Wachuja nafaka yenye nyimbo kama wachuja nafaka,radhia,ya leo kali,mzee wa busara n.k ndo ilikua bora kabisa,jamaa walikamua sana na Majani alifanya yake pia,mambo ya "ndi ndi kandingindinya ,ndi ndi kandingindinya nani kamfinyaaa"......................

Radhia haikuwa ya Dollo?
 
Hiyo album ni shiidaaa...humo ndo nigga j utamtaka ubaya na style ya michano ya kunata, kule mtu mzima terry a.k.a fanani hapa wille!ni balaa...sikiliza pini lao linaitwa "chuzi limekubali, mambo yee mambo waah"....nigga j aliikuta HBC ila kazi aliyoifanya nzito sana ktk game, nakumbuka first time kupandishwa stejini ilikuwa korean culture

Chemsha Bongo
Mamsapi....ilikuwa shida kuu Mjini..enzi hizo
 
Back
Top Bottom