Album ya Rayvanny "Sound from Africa" uchambuzi, ratings!!, cons and pros, Karibu.

Okay...kwa kinachoendekea kuhusu hii album nichangie mawili:
Nimependa kumshirikisha Weasel. Huyu staki apotee cause nilikuwa mpenzi wa Radio & Weasel, hasa "magnetic" nina memory nayo!!

Kwenye post ya album ya Rayvanny Times Square pembeni kuna post ya Post Malone. Si mpenzi sana wa "Trap" ila nilipoona hiyo post nimekumbuka "Rockstar", trap ya Post Malone nayo ikubali....

Hizi ndio memory mbili nazobaki nazo kuhusu hii album!!
 
Back
Top Bottom