Album ipi ya Wenge Music Bcbg yenye nyimbo kali kati ya PENTAGON na KALAYI BOEING?

Masuwa, Etepebuengo, Flex de lamu, Filandu, Masampuu, Banalunda
Umechanganya nyimbo za albams tofauti.
TITANIC ina nyimbo kama
Titanic, Omba, RDC, Liberation, Masuwa Feux D'lamour n.k.
Nyimbo kama Etepe Buengo, Filandu, No comment Shengen, Coco Madimba na Ndombolo ya Solo zipo kwenye Albamu ya Ndombolo.
Albamu ya Kala Yi Boeing ina Kala yi Boeing zingine nimezisahau.
Albamu ya Pleux De Feux ina nyimbo kama Tchacho mbala, Ave Maria, Bana Lunda n.k.
Then comes my favourite Post Wenge Musica albam, TH by Wenge BCBG with songs like TH, Mohamed Kanyasi, Kinshasa, Walay Danico, Sultan de Brunei n.k.
 
Habari wadau wa JF,
Moja kwa moja twende kwenye mada ndugu zangu, kwa mwenye kujua na kufuatilia huu mziki wa bana wenge naomba anijuze album ipi ya wenge ambayo imemfunika mwenzie kwa kuwa na idadi ya nyimbo nyingi nzuri kati ya Pentagon na Kalayi Boeing, pia unaweza kuziorodhesha hapa kwa majina au ukatuma hata audio.
Nawasilisha
Pentagon ni funga kazi, kutana na kitu Coco madimba.
 
Umechanganya nyimbo za albams tofauti.
TITANIC ina nyimbo kama
Titanic, Omba, RDC, Liberation, Masuwa Feux D'lamour n.k.
Nyimbo kama Etepe Buengo, Filandu, No comment Shengen, Coco Madimba na Ndombolo ya Solo zipo kwenye Albamu ya Ndombolo.
Albamu ya Kala Yi Boeing ina Kala yi Boeing zingine nimezisahau.
Albamu ya Pleux De Feux ina nyimbo kama Tchacho mbala, Ave Maria, Bana Lunda n.k.
Then comes my favourite Post Wenge Musica albam, TH by Wenge BCBG with songs like TH, Mohamed Kanyasi, Kinshasa, Walay Danico, Sultan de Brunei n.k.
Coco madimba iko pentagon,masuwa na feux'Damour iko albamu ya ndomboloo
 
Back
Top Bottom