Album 10 bora katika historia ya muziki wa Bongo Fleva

ALBUM HIZI KWANGIU ZITABAKI KUWA BORA MILELE NA MILELE

1. Machozi, jasho na damu- pr j
2. Misosi, mitungi na pamba -j mo
3. ugali- juma nature
4. nini chanzo - juma nature
5. kamanda - daz nundaz
6. mzee wa busara- wachuja nafaka
8. king'asi - mr nice
9. mkuki moyoni- afande sele
10. mr misifa - dully sykes
11. elimu dunia-daz nundaz
12. starehe - feruzi
13. zali la mentali- pr jay
14. funga kazi 2000- HBC
15. sister sister - crazy gk
16. amri 10 za mungu - dudu baya
17. bush party - solid ground family
18. mtoto wa geti kali- gangwe mob
19. Uko wapi? -Ray c
20. buzi - mr paul
Dully Sykes album yake iliitwa "Historia ya kweli", Prof J yake iliitwa "Machozi, Jasho na Damu", na Mr.Paul yake iliitwa "Ndani ya love"
 
Kuna nyimbo naitafuta ya ferouz ilikuwa katika albamu ya starehe baadhi ya mistari yake ni km ifuatavyo...

"la hasha nasonga bila kuchoka mola niongoze njia ilionyooka..
wenye chuki nawadhibiti madhubutii...

Sikia hizi hisiaa hutozipata nikishatanguliaa aah..

wala usiridhike na vikwazo vya njia, na wala usiridhike na ulipofikia ukabweteka na kujiachia!!!

Naomba mtu anaeijua anipe jina la hii ngoma wazee!
Inaitwa safari
 
1. Ugali by Juma Nature
2. Ulimwengu ndio mama by Jay Moe
3. A.k.a mimi by Ngwair
4. Mtoto wa Tandale by Diamond
5. Machozi by Lady Jaydee.
 
1. Ugali by Juma Nature
2. Ulimwengu ndio mama by Jay Moe
3. A.k.a mimi by Ngwair
4. Mtoto wa Tandale by Diamond
5. Machozi by Lady Jaydee.
Hiyo namba 4 imefuata nini hapo?
Iweke ya Machozi, Jasho na Damu ya mtu mzima Professor Jay
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom