Album 10 bora katika historia ya muziki wa Bongo Fleva

Yani Album ya Mandojo na Domokaya haipo? hamuwezi kua seriou aiseeh.... wale jamaa walikua hatariiiii.....tafuta Album moja hapo futa uwaweke Mandojo na Doma ukikataa naleft group....kama mbwai mbwai tu
 
Hahaha
 
Kipindi hicho bongo fleva ilikuwa haiuzi sana na ndo maana walipata tabu sana katika kufikia mafanikio na hata show zilikuwa hazilipi sana. Tunawashukuru sana kwa juhudi zao ndo wameufikisha mziki wa bongofleva hapa tulipo. Ingawa kwa Tanzania malegend wa bongofleva wengi hawapewi heshma stahiki km wanavyopewa heshma wasanii wa sasa
 
nitakufaje imebebwa na wimbo mmoja tu

ALBUM HIZI KWANGIU ZITABAKI KUWA BORA MILELE NA MILELE

1. Machozi, jasho na damu- pr j
2. Misosi, mitungi na pamba -j mo
3. ugali- juma nature
4. nini chanzo - juma nature
5. kamanda - daz nundaz
6. mzee wa busara- wachuja nafaka
8. king'asi - mr nice
9. mkuki moyoni- afande sele
10. mr misifa - dully sykes
11. elimu dunia-daz nundaz
12. starehe - feruzi
13. zali la mentali- pr jay
14. funga kazi 2000- HBC
15. sister sister - crazy gk
16. amri 10 za mungu - dudu baya
17. bush party - solid ground family
18. mtoto wa geti kali- gangwe mob
19. Uko wapi? -Ray c
20. buzi - mr paul
 
Aseee jaman kuna album ya mb dogy huyuu jamaa alitishaa san Na kitu cha latifaa nomaa nomaaaa
 
ALBUM HIZI KWANGIU ZITABAKI KUWA BORA MILELE NA MILELE

1. Machozi, jasho na damu- pr j
2. Misosi, mitungi na pamba -j mo
3. ugali- juma nature
4. nini chanzo - juma nature
5. kamanda - daz nundaz
6. mzee wa busara- wachuja nafaka
8. king'asi - mr nice
9. mkuki moyoni- afande sele
10. mr misifa - dully sykes
11. elimu dunia-daz nundaz
12. starehe - feruzi
13. zali la mentali- pr jay
14. funga kazi 2000- HBC
15. sister sister - crazy gk
16. amri 10 za mungu - dudu baya
17. bush party - solid ground family
18. mtoto wa geti kali- gangwe mob
19. Uko wapi? -Ray c
20. buzi - mr paul
Mr nice A.K.A lucas mkenda umemtendea haki kabisa katika album zozote kumi bora huyu jamaa asiachwe na mwenzie mohamed mbwana mb dog
 
Pangeni vyovyote lakin album hizi zisikosekane
Machozi jasho na damu,Album ya TID (Yenye zeze),A.K.A mimi ya Ngwair.

Mkipata nafasi zaid muwekeni na Duly sykes.
mkuu kwa mimi si wakipata nafasi. list aitakamilika mpaka Dully awepo kwenye hiyo list
 
  • Thanks
Reactions: me1
Funga kazi ya hard blasters kama haipo basi utakuwa umefeli. ..kuna wagosi wa kaya tanga kunani.....
Katika historia ya mj records ukweli mtupu ya wagosi wa kaya inashika1 kwa mauzo ya nakala kwenda kwa mamu. Ni maneno yake mwenyewe master Jay mara zote ukimuuliza atakujibu hivyo.
Mzigo ulitengenezwa na prof ludigo aliyetengeneza pia funga kazi 2000 ya hard blasters na mikasi ya ngwair akiwa kwa p funk
 
Daz mwalimu - elimu dunia
Ngwair - sikiliza/a.k.a mimi
Mr Nice-king'asti
Jide - machozi

Hizi kwangu zitabaki kuwa album bora kwa Bongo
 
Kuna nyimbo naitafuta ya ferouz ilikuwa katika albamu ya starehe baadhi ya mistari yake ni km ifuatavyo...

"la hasha nasonga bila kuchoka mola niongoze njia ilionyooka..
wenye chuki nawadhibiti madhubutii...

Sikia hizi hisiaa hutozipata nikishatanguliaa aah..

wala usiridhike na vikwazo vya njia, na wala usiridhike na ulipofikia ukabweteka na kujiachia!!!

Naomba mtu anaeijua anipe jina la hii ngoma wazee!
 
Katika historia ya mj records ukweli mtupu ya wagosi wa kaya inashika1 kwa mauzo ya nakala kwenda kwa mamu. Ni maneno yake mwenyewe master Jay mara zote ukimuuliza atakujibu hivyo.
Mzigo ulitengenezwa na prof ludigo aliyetengeneza pia funga kazi 2000 ya hard blasters na mikasi ya ngwair akiwa kwa p funk
Haitakuja kutokea tena, ile album iliakisi tittle ilikuwa ni ukweli mtupu sio siri. Nilikuwa nacheka tu kusikiliza vimbwanga vya wagosi. Ngoma nilizozipendaga sana ni redundancy, wauguzi na kuna moja nimeisahau jina ilikuwa hatariii!!!

Laiti kama mziki wetu ungekuwa unalipa toka zama zile those guys could be billionaires just like Diamond alivyo sasa ila maskini zamani faida kubwa ilikuwa umaarufu tu, utaishia kugonga mademu kirahisi basi..
 
Daz mwalimu - elimu dunia
Ngwair - sikiliza/a.k.a mimi
Mr Nice-king'asti
Jide - machozi

Hizi kwangu zitabaki kuwa album bora kwa Bongo
Kuna nyimbo naitafuta ya ferouz ilikuwa katika albamu ya starehe baadhi ya mistari yake ni km ifuatavyo...
"la hasha nasonga bila kuchoka mola niongoze njia ilionyooka..
wenye chuki nawadhibiti madhubutii...

Sikia hizi hisiaa hutozipata nikishatanguliaa aah..

wala usiridhike na vikwazo vya njia, na wala usiridhike na ulipofikia ukabweteka na kujiachia!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom