Albert Msando alikopa milioni 106 Equity Bank kwa utaratibu gani? Ni kweli kwamba mkuu wa wilaya analipwa 3.1milion?

J33

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
1,552
2,000
Nenda Equity Bank watakupatia formula hiyo, otherwise hakuna mantiki ya kujadili mkopo wa Msando hapa. Alishasema alikopa hizo hela ili kusaidia kujenga vibanda vya wamachinga. Sasa hoja inarushwa huku kufanya nini?
Kumbuka taarifa hii aliiweka mwenyewe instagram.
Kwaiyo yeye ameleta ijadiliwe wewe Chawa wake unataka lisijadiliwe.
 
kamwendo

JF-Expert Member
Apr 19, 2012
687
1,000
Una punic katika jambo ambalo linahitaji ufafanuz zaidi.

Tukiachia viongozi wachukue mikopo binafsi kwa kazi za umma au kwa kazi ambazo zinatakiwa kufanywa na halmashauri tunategemea nini?
Ya Sabaya.............
Haina Mantiki, Haina Logic

Hata kama ni uzalendo kwa hili hapana kwakweli uchukue mkopo binafsi kwa matumizi ya umma?

Halmashauri imekosa pesa? Ana uchungu gani hasa?

Atuoneshe Salary Slip Basi.
 
Maulaga59

JF-Expert Member
Feb 1, 2021
788
1,000
Kumbuka taarifa hii aliiweka mwenyewe instagram.
Kwaiyo yeye ameleta ijadiliwe wewe Chawa wake unataka lisijadiliwe.

Wewe kwa kweli na kenge hamna tofauti, ijadiliwe ili upate nini? Hela kazikopa yeye na za kwake! Nenda kalime!
 
Pounds1000

Member
Aug 1, 2017
41
95
Bwana Albert Msando Mkuu wa wilaya ya Morogoro amesema mshahara wa mkuu wa Wilaya ni 3.1M.

Amesema kwa mshahara huo ameenda kukopa bank milioni 106 kwa ajili ya kujenga vibanda vya wamachinga Morogoro.

Ni fomula gani wanayotumia bank ya Equity kumkopesha mtumishi anayepokea mshahara wa 3.1M milioni 106?

Ikitokea akatumbuliwa nan atalipa deni hilo?

Ni kweli kwamba mkuu wa Wilaya analipwa kiasi hiki?
Mtumishi wa serikali ni kwa namna gan anaweza kutumia fedha binafsi za mkopo kutatua kero za umma?

Nafaham kwamba ana biashara nyingine lakin amesema amekopa kwa mshahara wake na inafahamika kuna kiwango kinachokubaliwa kukopa kulingana na kiwango cha mshahara.
Wanakata pension yako ndo maana kuna kiwango unachoruhusiwa kukopa.Pia mkopo una insurance pindi pension yako itakapokatwa afu isitoshe na pia watadili na wewe. Ndo maana mikopo ya asset ni mikubwa kwa sababu benki na insurance firm zinashikilia hati. Lakini mikopo ya cash ni michache.
 
pretta360

Senior Member
Jul 15, 2020
157
250
Playing seek and hide😂 yeye anatengeneza mazingira ya kulindwa asitumbuliwe kwani kila wakuu wanapoona alikopa kwa mshahara watamsamehe ili amalizie deni lake,

"Use every chance you have to stay on the track" ametumia kanuni hii ya kacnia
Lakin mkopo si unakuaga na bima?mi mwnyw nilikuaga serikalin sasa mkuu wng alikua mnoko Kila cku kunichomea kwa wakubwa kisa kuchelewa kazin,alikua amedhamiria kabisa nifukuzwe,so Kuna mfanyakaz mwenzangu akanambia ukikopa hawana ubavu wa kukutimua ,nikafanya hivyo,lakin mbona nilifukuzwa mkopo ukiwa bado mbich ,nikaenda pspf kudai pension yangu ndo wakanitonya nifungue account nyingine ili waziweke pesa humo na waliziweka,japo walikua wakintania Sana ooh mstaafu kijana ,ningetumia account ya awali bank wangekata,japo mkopo wang ulikua na bima,Kuna cku cjui mwanasheria wao kanipigia ooh cjui mim mwanasheria wa crdb vp mkopo wako ujamaliza hiyo ni baada ya miaka 4,nkamwambia kuwa nilifukuzwa ,bas hakuwahi kupiga tena
 
TADPOLE

JF-Expert Member
Nov 18, 2015
1,679
2,000
Acheni ushamba Msando ana hela hawezi shindwa kopa iyo pesa ni ndogo kwake sana kukopa ana biashara na fixed assets kibao tu inshort kuweka mshahara wake ni kurahisisha tu mchakato
Kama ana hela mbona anawasumbua halamashauri ya Manispaa ya Morogoro anawalazimisha wampe fungu alipe hilo deni maana kulipa peke yake kashasanda...Kakurupuka aliplan kwamba hii ingembeba kisiasa kuelekea mbio zake za kugombea ubunge Morogoro hajui kwamba Morogoro ina wenyewe
 
promethus

JF-Expert Member
Feb 22, 2016
522
1,000
Lakin mkopo si unakuaga na bima?mi mwnyw nilikuaga serikalin sasa mkuu wng alikua mnoko Kila cku kunichomea kwa wakubwa kisa kuchelewa kazin,alikua amedhamiria kabisa nifukuzwe,so Kuna mfanyakaz mwenzangu akanambia ukikopa hawana ubavu wa kukutimua ,nikafanya hivyo,lakin mbona nilifukuzwa mkopo ukiwa bado mbich ,nikaenda pspf kudai pension yangu ndo wakanitonya nifungue account nyingine ili waziweke pesa humo na waliziweka,japo walikua wakintania Sana ooh mstaafu kijana ,ningetumia account ya awali bank wangekata,japo mkopo wang ulikua na bima,Kuna cku cjui mwanasheria wao kanipigia ooh cjui mim mwanasheria wa crdb vp mkopo wako ujamaliza hiyo ni baada ya miaka 4,nkamwambia kuwa nilifukuzwa ,bas hakuwahi kupiga tena
Mtumishi akifanya kazi kwa muda gani anastahili kupewa mafao?
Natishwa sana job nataka kutemana nao.
 
pretta360

Senior Member
Jul 15, 2020
157
250
Hata miwili lakin watu wa pension wanasema wakikufukuza wao(walokuajiri yaan serikal) ndo inakua rahis kulipwa,tofaut na ukiondoka mwenyewe
Mtumishi akifanya kazi kwa muda gani anastahili kupewa mafao?
Natishwa sana job nataka kutemana nao.
 
Jorojik

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
3,923
2,000
Bwana Albert Msando Mkuu wa wilaya ya Morogoro amesema mshahara wa mkuu wa Wilaya ni 3.1M.

Amesema kwa mshahara huo ameenda kukopa bank milioni 106 kwa ajili ya kujenga vibanda vya wamachinga Morogoro.

Ni fomula gani wanayotumia bank ya Equity kumkopesha mtumishi anayepokea mshahara wa 3.1M milioni 106?

Ikitokea akatumbuliwa nan atalipa deni hilo?

Ni kweli kwamba mkuu wa Wilaya analipwa kiasi hiki?
Mtumishi wa serikali ni kwa namna gan anaweza kutumia fedha binafsi za mkopo kutatua kero za umma?

Nafaham kwamba ana biashara nyingine lakin amesema amekopa kwa mshahara wake na inafahamika kuna kiwango kinachokubaliwa kukopa kulingana na kiwango cha mshahara.
Mwisho wa siku hizo fremu ni za halmashauri ya mji au zake mwenyewe? Tuanzie hapo kwanza. Tunavyofahamu fremu nyingi za mjini zinazotumiwa na wafanyabiashara ni za hamshauri. Amekuwa mwekezaji huko Morogoro au DC?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom