Albert Mangwea (Special Thread)

Mi ni mzambi sawa na mtu mwingine sina utukufu wowote kuleta mada hii jamvini sikwamba mi mtakatifu nataka liwe somo kwetu kwa Mungu hata urimwengu mzima ungekusifia hakuna msaada kusema wanamziki wa MAREKANI kwaniwao ni kinanani kwa Mungu kataleya
 
Last edited by a moderator:
Nakweli yeye si levo yangu, mimi na wewe tujifunze kwa huyo mnae muita matawi yajuu kwani bado tunayo nafasi ya kutubu na kumludia Mungu kabra hatujaporomoka huko juu kwenye matawi na kutumbukia shimoni. tafakari chukua hatua mpendwa mtu wa Mungu
 
Tuacheni siasa kwenye uhai kumbuka kifo ni kwakila mtu hata YESU atakapo kuja watakao kutwa hai watabadirika kuvaa kutokufa, kikubwa nilicholenga hapa si Mangwea ni kifochake na maisha yajayo baada ya kutufika kifo.
 
Alikuwa ni msanii pendwa!!!

Weka kwenye mizani skendo za Ngwair na Michael Jackson halafu uzungumze tena.

NOTE: Kitendo cha kuzaliwa na nyota ya kupendwa na ukawa msanii inatosha kukamata.
 
halafu mimi sikuwahi kumsikia kabisa,nimekuja kumfahamu baada ya kifo chake,ndo nikafahamu kumbe ule wimbo wa mikasi aliimba yeye,nikaangalia video zake youtube,any way kijana alijitahidi kwa kweli na aliburudisha,RIP Ngwair kipenzi cha watu wengi
 
Simply Ngweir amekufa kwa overdose ya heroin...

Ningekuwa mwanafamilia ningesoma report ya postmottum pale makaburi ili vijana wajifunze...

Unafki huu ulimshinda Nelson Mandela na kuamuwa kutangaza pale makaburini kwamba mwanaye alikufa kwa ukimwi.

Jiandaneni kwa majonzi zaidi kama hawa ndio role model wenu.....

View attachment 96788

ni kweli kaka kifo cha mmoja wetu kiwe mazingatio sisi tulio hai
 
Hii tabia ya kuwa mna msifia mtu anapo kufa tuiache MANGWEA hakuwa mtu mzuri ninaimani watu alio washawishi kuingia kwenyekundi la kutumia madawa ni wengi sana, kama tulikuwa tunampenda kwa kiasi hiki, mbona tulimuacha na hakusaidiwa kama RC?,
Labda kwanza lets find out what made him do/engage na hivyo vitu. Ila naamini mazuri yapo hata kama wewe hujayaona mkuu, kila mtu ana mapungufu yake jamani..na kazi ya kuhukumu sio yetu. simply speaking!!!!!
 
Simply Ngweir amekufa kwa overdose ya heroin...

Ningekuwa mwanafamilia ningesoma report ya postmottum pale makaburi ili vijana wajifunze...

Unafki huu ulimshinda Nelson Mandela na kuamuwa kutangaza pale makaburini kwamba mwanaye alikufa kwa ukimwi.

Jiandaneni kwa majonzi zaidi kama hawa ndio role model wenu.....

View attachment 96788

Mimi ni mshaur nasaha wa kujitolea, weka wazi huyo pichani ni nani niweze kumsaidia kabla mambo hayajaharibika!
 
Kwani rc tulimsaidia wote ama alisaidiwa na kaka mkuu? Huu ujumbe ni wa kaka mkuu. Haendi kwenye misiba ya maprofesa anaenda kumzika kanumba. Kwanza sijui kwa nini hakwenda kumzika ngwear
Eti bana. kwa kua mtu ana umashuhuri fulani kama kuimba na kuonekana kwenye tv, hata kama ana tabia chafu namna gani tunagombea kujitambulisha naye na kumsifu siku mauti ikimkuta. Hii kama sio unafiki ni nini?
 
Na ningemshangaa angekwenda kuzika wahuni akaacha kazi yake ya safari zisizo na mwisho wala maslahi. Tusikengeuke tukawa kama wazungu, kwa akili kama hizi ndio leo tuna Sir Elton John ambaye ni mke wa mtu. Naye akifa, mtataka heshima kwake

Ndio maana JK hakuweza kuja kwani ingekuwa aibu sana kwake kushabikia watumia madawa ya kulevya. ila nilshangaa sana kuona maiti ya mvuta madawa inasindikizwa na msafara wa polisi hadi wenye Farasi!!!
 
Sidhani km ni vema kwa mila za kiafrika kuanza kumnenea mabaya marehem ambaye hata hawezi kujibu wala kujitetea, ila cha msingi hakuna aliyekamilika hivyo basi tujifunze toka kwake yala yaliyo mema na tuachane na yale yasiyo mema
 
Tanzania ni lango la kuingizia madawa nahisi alikuwa amepeleka mzigo wa wakubwa ndomaana akapokelewa kifalme wakati karitia aibu Taifa,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom