Albert Kawogo wa Gzt la Saut Huru ameshitakiwa Sambamba na Subashi Patel kunyanyasa Waandishi!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Albert Kawogo wa Gzt la Saut Huru ameshitakiwa Sambamba na Subashi Patel kunyanyasa Waandishi!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwamakula, Sep 30, 2012.

 1. M

  Mwamakula JF-Expert Member

  #1
  Sep 30, 2012
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 1,893
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Mkurungenzi wa Sauti Huru Albert Kawogo anatuhumiwa kuwadhulumu Waandishi wake Mishara .Mishahara hiyo ilitolewa na Subashi Patel kwa ajiri ya Wafanyakazi lakini Kawogo akatafuna!!!

  Kesi hiyo inashughurikiwa na Nkindis Advocate na tayari Subashi Patel ameshapelekewa Waraka ambapo sambamba na tuhuma hizo Kampuni hiyo haijawahi kulipa kodi TRA wala hawajawahi kulipa malipo ya NSSF kwa Wafanyazi !!
   
 2. C

  Chinga boy JF-Expert Member

  #2
  Sep 30, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 415
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Huyu muhindi ni mdhulumaji sana kwa kuwa ameiweka serikali mfukoni wakati naanza maisha baada ya kumaliza Ftc yangu umeme nilifanya kazi ktk makampuni yake watu wanafanya kazi ktk mazingira magumu furnance za moto kwa kutengeneza nondo hwana mikataba wapo miaka mingi kama vibarua .But haja yote ni serikali yetu ndo inaelea haya mambo cos tu mtu anachangia ccm anaachwa afanye anavyotaka
   
 3. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #3
  Sep 30, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,268
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Tanzania Daima nao vipi, maana pia hawalipwi. watamshitaki nani sasa? Kibanda, Ngurumo au Mke wa Mbowe?
   
Loading...