Albert Chalamila apimwe akili, anaweza kuwa na matatizo

Semahengere

JF-Expert Member
Nov 29, 2020
1,186
1,955
Ni dhahiri kuwa Huyu Ndugu ana matatizo. Kipindi Cha Mzee Magu alituambia Rais ni mzima hana shida yeyote na anawasalimia Watanzania
Kumbe yuko kwenye Friji ana siku ya nne

Jana anasema zoezi la uokoaji liko under control na anawasiliana na Rubani Kumbe Rubani alishavuta saa nyingi.

Mama Samia unambeba huyu Ndugu ila ukweli ni kwamba habebeki ana matatizo binafsi .

Hapimi maneno yake kabla hajaongea. Na ni hatari kwa Kiongozi kama huyu kwenye usalama wa nchi.
 
Wakati mwingine huwa hatufikiri mambo kama kiongozi.

Hivi kwa mfano kwenye ishu ya Magu angesemaje? Kwamba alishakufa? Kiongozi lazima utumie kauli ambayo haitaleta tension kwenye jamii hata kama ukweli unaujua, lazima uvunge ili wakat sahihi au mtu sahihi ndio aseme hilo jambo
 
Wakati mwingine huwa hatufikiri mambo kama kiongozi.
Hivi kwa mfano kwenye ishu ya Magu angesemaje? Kwamba alishakufa? Kiongozi lazima utumie kauli ambayo haitaleta tension kwenye jamii hata kama ukweli unaujua,lazima uvunge ili wakat sahihi au mtu sahihi ndio aseme hilo jambo
Shida yake ni mlopokaji sana
 
Ni dhahiri kuwa Huyu Ndugu ana matatizo
Kipindi Cha Mzee Magu alituambia Rais ni mzima hana shida yeyote na anawasalimia Watanzania
Kumbe yuko kwenye Friji ana siku ya nne

Jana anasema zoezi la uokoaji liko under control na anawasiliana na Rubani
Kumbe Rubani alishavuta saa nyingi

Mama Samia unambeba huyu Ndugu ila ukweli ni kwamba habebeki ana matatizo binafsi

Hapimi maneno yake kabla hajaongea. Na ni hatari kwa Kiongozi kama huyu kwenye usalama wa nchi.
Jana anasema zoezi la uokoaji liko under control na anawasiliana na Rubani
Kumbe Rubani alishavuta saa nyingi
 
Wakati mwingine huwa hatufikiri mambo kama kiongozi.
Hivi kwa mfano kwenye ishu ya Magu angesemaje? Kwamba alishakufa? Kiongozi lazima utumie kauli ambayo haitaleta tension kwenye jamii hata kama ukweli unaujua,lazima uvunge ili wakat sahihi au mtu sahihi ndio aseme hilo jambo

Angekaa kimya kwani angepungua nini kuliko kudanganya watu kipindi Cha tension ya kutokuoneka kwa Rais. Ni kiongozi wa hovyo Sana.
 
Jana anasema zoezi la uokoaji liko under control na anawasiliana na Rubani
Kumbe Rubani alishavuta saa nyingi
Itakuwa Rubani alikuwa kwenye Kichwa chake.Hatuwezi jua Bwana.
Akili zake ndivyo zilipo na ameaminika ..sisi ni kina nani kuhoji namna ya Afya ya Akili ya Viongozi wetu.

Lakini ni ujinga wa hali ya juu hili likinyamaziwa.
 
Ni dhahiri kuwa Huyu Ndugu ana matatizo. Kipindi Cha Mzee Magu alituambia Rais ni mzima hana shida yeyote na anawasalimia Watanzania
Kumbe yuko kwenye Friji ana siku ya nne

Jana anasema zoezi la uokoaji liko under control na anawasiliana na Rubani Kumbe Rubani alishavuta saa nyingi.

Mama Samia unambeba huyu Ndugu ila ukweli ni kwamba habebeki ana matatizo binafsi .

Hapimi maneno yake kabla hajaongea. Na ni hatari kwa Kiongozi kama huyu kwenye usalama wa nchi.
Kwanza kabisa, tumpime aliemteua. Tusihangaike na matawi, tuangalie mzizi ulipo!
 
Ni dhahiri kuwa Huyu Ndugu ana matatizo. Kipindi Cha Mzee Magu alituambia Rais ni mzima hana shida yeyote na anawasalimia Watanzania
Kumbe yuko kwenye Friji ana siku ya nne

Jana anasema zoezi la uokoaji liko under control na anawasiliana na Rubani Kumbe Rubani alishavuta saa nyingi.

Mama Samia unambeba huyu Ndugu ila ukweli ni kwamba habebeki ana matatizo binafsi .

Hapimi maneno yake kabla hajaongea. Na ni hatari kwa Kiongozi kama huyu kwenye usalama wa nchi.
Ccm kuna mtu anabebeka?
 
Back
Top Bottom