SHIEKA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 8,244
- 4,258
View attachment 97455 Mfalme wa muziki wa kisasi kipya hapa Tanzania.
Mfalme wa muziki wa kisasi kipya hapa Tanzania.
Mbona huo mziki wa Kisasi kipya unao wapenzi wengi?kwa nini hawanunui wao ni kuuchezatuu? Au mpaka hii kitu iwepo ndio maana wanaserebuka
Mbona huo mziki wa Kisasi kipya unao wapenzi wengi?kwa nini hawanunui wao ni kuucheza
tuu?View attachment 97463
Mwe, hii baikoko si walipiga marufuku hii?!!
Sasa ile single ya kujivua gamba iliharibika karudi tena studio kutunga single nyingine eti ameenda Arusha kuiondoa laana,1. Kuna laana kuzidi hii ya serikali ya CCM kugawa raslimalizetu kwa wachina, wamarekani2. Kuwapiga wanamtwara kwa kisingizio cha vurugu3. Kuwanyang'anya wanachi ardhi kule Kigamboni eti mnajenga mji mpya?4. Kusafiri Ulimwengu mzima kuomba omba wakati tuna kila raslimali hapa hapa5. Kuchagua mtu kama Nape, Mwigulu kwenye chama chenye historia ya kipekee katika Ukombozi wa Afrika? [/QUOTE Chikaka Sumuni: Niruhusu niongeza moja kwenye orodha yako nzuri, kitu kinachoniuma sana mpaka nakosa usingizi!6. Kumnyanyasa mtaalamu mzalendo wa magonjwa ya moyo mpaka akafa!!!. Hapa Tanzania tungekuwa na kituo kikubwa cha matibabu yamoyo Afrika ya mashariki yote, kama Dr. F. Masao angepewa misaada aliyohitaji kutoka serikalini.
Mfalme wa muziki wa kisasi kipya hapa Tanzania.