Albamu za Huyu Mwanamuziki Zinadorora Madukani:Watu wengi hawataki kuzinunua!

Heri ajaribu kurudi kupiga miziki ya BAKURUTU maana hii ya kizazi kipya kashindwa kuuza
 
Heri ajaribu kurudi kupiga miziki ya BAKURUTU maana hii ya kizazi kipya kashindwa kuuza
SURUMA. Mimi sijazungumzia kizazi kipya ila kisasi kipya. Hata hivyo, kundi linalopiga muziki huo haliwezi wala halitaki kubadili mtindo!
 
Last edited by a moderator:
Mbona huo mziki wa Kisasi kipya unao wapenzi wengi?kwa nini hawanunui wao ni kuucheza
tuu? ImageUploadedByJamiiForums1371135961.365990.jpg

Au mpaka hii kitu iwepo ndio maana wanaserebuka
ImageUploadedByJamiiForums1371136180.687041.jpg
 
Keshawalisha wali na maharage na viroba sasa anawaburudisha na mziki wa kisasi kipya
 
Sasa ile single ya kujivua gamba iliharibika karudi tena studio kutunga single nyingine eti ameenda Arusha kuiondoa laana,
1. Kuna laana kuzidi hii ya serikali ya CCM kugawa raslimalizetu kwa wachina, wamarekani
2. Kuwapiga wanamtwara kwa kisingizio cha vurugu
3. Kuwanyang'anya wanachi ardhi kule Kigamboni eti mnajenga mji mpya?
4. Kusafiri Ulimwengu mzima kuomba omba wakati tuna kila raslimali hapa hapa
5. Kuchagua mtu kama Nape, Mwigulu kwenye chama chenye historia ya kipekee katika Ukombozi wa Afrika?
 
Uyu labda apewe deal ya kutokelezea kwenye tangazo la Carolite.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Sasa ile single ya kujivua gamba iliharibika karudi tena studio kutunga single nyingine eti ameenda Arusha kuiondoa laana,1. Kuna laana kuzidi hii ya serikali ya CCM kugawa raslimalizetu kwa wachina, wamarekani2. Kuwapiga wanamtwara kwa kisingizio cha vurugu3. Kuwanyang'anya wanachi ardhi kule Kigamboni eti mnajenga mji mpya?4. Kusafiri Ulimwengu mzima kuomba omba wakati tuna kila raslimali hapa hapa5. Kuchagua mtu kama Nape, Mwigulu kwenye chama chenye historia ya kipekee katika Ukombozi wa Afrika? [/QUOTE Chikaka Sumuni: Niruhusu niongeza moja kwenye orodha yako nzuri, kitu kinachoniuma sana mpaka nakosa usingizi!6. Kumnyanyasa mtaalamu mzalendo wa magonjwa ya moyo mpaka akafa!!!. Hapa Tanzania tungekuwa na kituo kikubwa cha matibabu yamoyo Afrika ya mashariki yote, kama Dr. F. Masao angepewa misaada aliyohitaji kutoka serikalini.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom