Albamu mpya ya Burna Boy ni moto mkali sana

Huyu mtu n noumer haswaaah, yaan album yake hii ni qareeeh saaanah,
Napenda pia kwenye collabo yuko on ,
Eg, Sam Smith ft Burna boy - my oasis
 
Ukiona jamii inang'ang'ana kumdhihaki msanii mwenye uwezo mkubwa kama Lady Jay Dee "Komando" kwa kumlinganisha na mtoto kama Zuchu basi fahamu kwamba kuna tatizo pahala (Like Seriously!!!) . Shida ni kwamba tunachanganya kati ya umaarufu na kipaji na hata hao watangazaji wa burudani wenye dhamana ya kukuza muziki wetu huko redioni hawajui kabisa muziki. Nakumbuka Burna Boy anavyoanza miaka hiyo kuna mtangazaji wa redio kubwa alisema hamuelewi kabisa jamaa, niliishia kusikitika tu.

Burna boy kila siku anakomaa na anajifunza sana, walimu wake wa muziki (Mentors) ni Femi Kuti na Angelique Kidjo sasa mtu kama huyu akifikisha One Billion Streams utashangaa kweli ??? Ukweli ni kwamba muziki ni kama taaluma nyingine na inahitaji kukaa chini na kujifunza kila siku, kitu ambacho watanzania wengi hatutaki kabisa kukisikia (Sauti Sol wanajitahidi sana kwenye hili). Tunaweza kupata Views nyingi You-Tube lakini tusiweze kuacha alama yoyote ile kwenye tasnia ya muziki hapa barani Afrika.
Waimba Matusi Ndio Wanaookota mkwanja mrefu Kwa Sasa, Jamii Imehamua Kupokea Matusi Kuwa Sehemu ya Maisha Yao
 
Watu wakutusaidia kututoa ktk huo mkwamo tunao(P Funky &Master Jay no) ila wasanii hawataki kuwatumia sababu wanaogopa gharama.

Asikudanganye mtu Wanaija wamewekeza hela nyingi sana kwenye mziki wao,kuanzia promotion mpaka production na mshika dau anaheshimu uweledi wa mwenzake.

Hapa Tanzania msanii anaongea kabisa na kumjibu shit producer "...bila mimi wewe usingekuwa producer mkubwa......",hii kauli ni ya dharau.
Mkuu Watu wanataka pesa sio legacy
 
Back
Top Bottom