ALASIRl LAMSHINDA MENGI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ALASIRl LAMSHINDA MENGI

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sumbalawinyo, Jul 14, 2010.

 1. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #1
  Jul 14, 2010
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Je ni kweli kuwa mkurugenzi wa lpp media ameshindwa kuliendesha gazeti lake la kila siku jioni ambalo lilikuwa likipendwa sana na wasafiri wa daladala ambao walikuwa wakilitumia gazeti hilo kama dawa ya kujisahaulisha makali ya msururu wa magari muda wa kurudi nyumbani?
   
 2. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #2
  Jul 14, 2010
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  kichwa cha sredi kimekonclude, wakati habari yenyewe inauliza swali. Ok polepole tutafika.
   
 3. M

  Magezi JF-Expert Member

  #3
  Jul 14, 2010
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  jifunze kwanza wengine wanaandika vipi thread zao ndo na wewe utundike na siyo kukurupuka
   
 4. doup

  doup JF-Expert Member

  #4
  Jul 14, 2010
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 1,172
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  tatizo ni nini?
   
 5. minda

  minda JF-Expert Member

  #5
  Jul 14, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  bila shaka anataka kuongeza idadi ya posts kiaina!
   
 6. analysti

  analysti JF-Expert Member

  #6
  Jul 15, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 704
  Likes Received: 354
  Trophy Points: 80
  Hili gazeti likimshinda au kutomshinda bwana Mengi, ina impact gani kwa maendeleo ya taifa letu??
   
 7. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #7
  Jul 15, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,495
  Likes Received: 5,725
  Trophy Points: 280
  ukikua utaacha
   
 8. M

  MJM JF-Expert Member

  #8
  Jul 15, 2010
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 461
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Limemshinda unaweza kulinunua? Biashara zake nyingine pia umezifanyia analysis kujua kama anaendelea nazo au la?
   
 9. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #9
  Jul 15, 2010
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ok kichwa cha habari kimekosewa ndiyo mpeni jibu basi? jibu ni ndio maana halionekani na hakuna taarifa yeyote ile
   
 10. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #10
  Jul 15, 2010
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Pale lilipofikia ilitakiwa mtu au kampuni ingine lilinunue na kuendelea kuchapisha, shida kwa Tanzania "mergers and acquisition" hasa kwa biashara za kifamilia hakuna kabisa, mtu yuko radhi biashara imfie kuliko kumwachia mwingine kama imemshinda. Serikali inatakiwa kulifanyia kazi hili ili kulinda ajira, biashara ikishindwa kulipa mishahara au kodi za serikali itangazwe muflisi na utaratibu wa kuifufua kwa kubadilisha wamiliki ufanyike mara moja
   
 11. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #11
  Jul 15, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,336
  Likes Received: 22,188
  Trophy Points: 280
  Safari bado ni ndefu hadi tufikie kwenye kujitambua.
   
 12. Mpenzi

  Mpenzi Member

  #12
  Jul 15, 2010
  Joined: Nov 3, 2009
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani mtu ameuliza swali, kama hamna jibu basi. Sioni sababu ya kuja juu.
   
Loading...