George Orwell, yule aliyeandika Animal Farm?Ndani take kulikuwa na usemi maarufu 'All animals are equal, but some are more equal than others'.Inaelekea alipenda kuwakosoa sana wanasiasa.Angekuwa Tz nadhani angelikuwa amebambikiziwa kesi.
Ndiye huyo haswaa.,sema hata hivyo 'wema hawadumu' aliiacha dunia mapema ikiwa bado inamhitaji,kama sikosei alikuwa kama 47yrs tu.George Orwell, yule aliyeandika Animal Farm?Ndani take kulikuwa na usemi maarufu 'All animals are equal, but some are more equal than others'.Inaelekea alipenda kuwakosoa sana wanasiasa.Angekuwa Tz nadhani angelikuwa amebambikiziwa kesi.
Angekuwa ruvu anapiga mbiziGeorge Orwell, yule aliyeandika Animal Farm?Ndani take kulikuwa na usemi maarufu 'All animals are equal, but some are more equal than others'.Inaelekea alipenda kuwakosoa sana wanasiasa.Angekuwa Tz nadhani angelikuwa amebambikiziwa kesi.
Angekuwa ruvu anapiga mbizi
Shigha vichike avaemshana jr;
We mwathuu uwe! Achana na mawazo hayo, yenekuetiye kijuthii. Si uliambiwa wapiga mbizi wale walikuwa haram!!
Shigha vichike avae
Mkuu; Nde huvo, ithanga lakondika
Lakondika hadori?
Hamjaniacha.
NavonaLakondika hadori?
Hamjaniacha.