Alama za nyakati: Kwa nini harambee ya CHADEMA inaitikiwa?

TEMILUGODA

JF-Expert Member
Feb 11, 2012
1,389
285
Nimekuwa najiuliza mara kadhaa,kwa nini chadema wakiitisha harambee wanaitikiwa na kila kundi ktk jamii?je kwa nini vyama vingine hususan ccm na cuf wasiige mbinu hii ili kuchochea maendeleo? Sipati picha kama Slaa angekuwa Rais wa Tanzania tungechanga shilling ngapi? Kwa sherehe za uhuru wa kweli! Big up CHADEMA.
 
Hakuna chama cha siasa kilichojipanga ki sawa sawa kama chadema,kinatumia fursa zote kuhakikisha kinadumu kwenye akili za watanzania 24/7

Harambee zake zinaitikiwa kwa sababu michango inayochangwa inatumika ipasavyo na kwa malengo yaliyokusudiwa
 
Back
Top Bottom