Alama za kitaalamu zilikuwa zinaonyesha leo simba /team inayovaa nyekundu itashinda 3...

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,510
23,722
kama huamini angalia liverpool wameshinda 3 wapinzani wao 1. simba 3 wapinzani wao 1 , manchester united 3 wapinzania wao 1. yanga kama wangetaka ushind leo wangeomba simba wavae rang nyingine wao wavae rang nyekundu. hii ni kitaalamu sana. nyie wengine hamwezi kuelewa, tar 21 inagawanyika kwa 3 na mwezi wa 12 unagawanyika kwa 3. mwaka unaishia na 13 ambayo inagawanyika kwa moja na hilo ndo bao walilopata wapinzan wa REDS.
kama ulikuwa pia unafukuzia msichan kwa siku ya leo wahi kavae rangi nyekundu halaf mtafute. utampata na kufanikiwa kupiga 3 yeye akipiga 1. huu ni utabiri wa namba kama utapenda kufahamu zaidi hasa kwa siku ya kesho usisite kuni inbox. ntakufundisha hesabu zake ni bure tu.
 
Unajitoa ufahamu soccer ni science sio utabiri kufanga matatu hata timu 30 sio kweli nikutokana na utabiri we vaa nyekundu usijiandae ukafunge
 
huyu kichaa nini?? ina maana hawa wote wamevaa nyekundu?
 
Kweli nimeamini njia ya muongo ni ndefu mpaka ugoogle ,ila umemmaliza tehe tehe
huyu kichaa nini?? ina maana hawa wote wamevaa nyekundu?
 
Mkuu Texas COM. umeamua kucopy kabisa livescore.com..!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom