Alama za Barabarani ndani ya Jiji la Dar es Salaam

akohi

JF-Expert Member
Jul 13, 2012
788
524
Habari wana jf,
Naombwa kuelimishwa juu ya hizi alama za ndani ya jiji letu maana naona almost kila barabara ina road sign ya NO ENTRY/ONE WAY. Binafsi sielewi nini kinaendelea.

asanteni.
 
Huyo mtu aleyeidhinisha huo mradi wa kuweka hizo alama anatakiwa awe yuko lupango. Huo mradi haukuwa na maana yoyote. Bora hiyo pesa ingetumika kufunika mahandaki yaliyojazana kwenye bara bara za jiji. Mwaka wa nne sasa hizo alama hazitumiki. Mradi wa kifisadi. Inaonekana hakukuwa na upembuzi wowote kabla ya kuamua kuweka hizo alama.
 
  • Thanks
Reactions: SMU

Mbaya zaidi wameshindwa kuzifunika/kuziondoa ili zisiwachanganya watumiaji kwa muda huu ambapo hazijaanza kutumika. Kwa mtu mgeni na anayependea kufuata sheria alama hizo zinaweza kumsumbua sana.
 
mnashangaa haya, kuishi bongo wala usiwe na shaka, utaona mengi sana in your life time.
 
kuna vitu vingi vinafanywa havina maelezo yani kama watendaji wamesafiri hadi wakirudi ndio tuone mabadiliko, cha kushangaza nao wanatumia barabara hizo hizo sasa sijui nini tatizo au ndio mambo ya who cares
 
Ni zaidi ya hatari katika hili jiji.
And we expect to have Big Results Now?
 
Back
Top Bottom