samakinchanga
JF-Expert Member
- Aug 24, 2014
- 1,544
- 2,000
Nimesafiri hasa hii mikoa iliyowekewa taa za barabarani traffic light, yaani maajabu taa ya kijani ikiwaka kuruhusu magari kupita ndo kwanza watembea kwa miguu wanakatiza zebra hapo, yaani sijui kama ukiwa dar au hapo nairobi hiki kinaweza fanyika. Ni hatari sana, huko Mazoo,Rchuga, na kwingineko badilikeni