Hivi majuzi waziri wa miundo mbinu alizindua ndege mpya ya Air Tanzania.
Kilichonishangaza ni kuona ina muonekano(rangi) tofauti kabisa na ndege zetu tulizozoea kuona. Haina bendera ya Tanzania inayoonekana kwenye ndege hiyo zaidi ya twiga mdogo anayeonekana kwenye mabawa.
Swali lililonijia kichwani ni hili, je alama ya Taifa kwa sasa ni Twiga? Nikiona alama ya twiga popote itanifahamisha kuwa jambo hilo lina uhusiano na Tanzania?