Alama ya Nyundo imepitwa na wakati kwenye nembo ya CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Alama ya Nyundo imepitwa na wakati kwenye nembo ya CCM

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by The Dreamer, Oct 27, 2010.

 1. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #1
  Oct 27, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wapendwa wanaJF, wote tunajua kwamba kura za internet ambayo watumiaji wake wengi ni wafanyakazi, wanafunzi na wasomi wameikataa CCM na JK wake kwa Kishindo (Rejea Poll of Polls hapa JF). Hii ina maana ile alama ya Nyundo kuwakilisha wafanyakazi kwenye nembo ya CCM imepitwa na wakati. Nawashauri waweke alama pesa badala ya nyundo kumaanisha ni Chama cha wafanyabiashara na mafisadi...pesa kama msingi wa maendeleo!
   
 2. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2010
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Kabisaaa. Waweke alama hata ya Cheque italeta maana zaidi.
   
Loading...