Alama ya nyoka ....!

utiyansanga

JF-Expert Member
May 19, 2010
213
7
Naomba kujua alma ya nyoka kitabibu ianashiria nini ....mfano WHO nembo yao wanatumia nyoka kama ilivyo Muhimbili Hospitli ni kitu gani hiki?
 
Naomba kujua alma ya nyoka kitabibu ianashiria nini ....mfano WHO nembo yao wanatumia nyoka kama ilivyo Muhimbili Hospitli ni kitu gani hiki?

imetokana na: (Hes. 21:8-9)
"....naye Mungu akamwambia Musa: Tengeneza Nyoka wa shaba, umtundike juu ya mlingoti. Mtu yeyote atakayeumwa na nyoka, akimtazama nyoka huyo wa shaba, atapona. Basi, Musa akatengeneza nyoka wa shaba, akamtundika juu ya mlingoti. Kila mtu aliyeumwa na nyoka alipomtazama huyo nyoka wa shaba, alipona" (Hes. 21:8-9
 
Snake as a symbol in medicine and pharmacy - a historical study

http://www.ncbi.nlm.nih.gov/pubmed/11640204
 
Back
Top Bottom