Alama ya maziwa kwa mwanaume ina kazi gani?

Mkuu ulipokuwa unatumia pesa kwa fujo kisa pasaka ulihisi ndo mwisho wa Dunia,

Una safari ndefu sana mpaka mwisho wa mwezi,

Kesho utakuja kuuliza makalio yana kazi gani
Pengine hujaelewa swali. Pasaka haihusiki hapo ni swali la kitaalamu zaidi. Leta jibu lako kama unalo
 
Wengine wanapenda kunyonywa kabisa, sasa sijui wao yaliwekwa labda kwa starehe tu hata sijui
hii ni mpya kuna sehem kuzigusa kwa mwanaume tu ni kimbembe yani mwanaume utommaswe chuchu na kushikwa makalio? patachimbika
 

Indeed, nipples are made before the expression of the gender chromosomes so they appear in both males and females (Kwa sababu chuchu/maziwa yanatengenezwa kabla ya Kromosomu inayochombeza jinsia haijaanza kuchacharika na kufanya kazi, ndio maana chuchu/maziwa) yanapatikana katika jinsia zote mbili.

Kitaalamu zaidi... this makes sense to me.
 
Ninatumaini Pasaka ndio imeisha kwa usalama,

Napenda kujulishwa kitaalamu hasa kwa waliobobea katika masomo ya baiolojia kipengele cha viungo na matumizi yake (anatomy and physiology).

Hivi alama za maziwa/ matiti kwa wanaume yana kazi gani hasa?
Mwanaume (XY) na Mwanamke (XX). Maana yake ni kuna vitu ambayo mwanaume anavyo lakini mwanamke hana. Ndio maana mwanamke alitoka kwa mwanaume kumbuka Adam na Hawa, Alianza Adam kisha sehemu ya Adamu(X) ilichukuliwa kumtengeneza Hawa(XX).
 
Mwanaume (XY) na Mwanamke (XX). Maana yake ni kuna vitu ambayo mwanaume anavyo lakini mwanamke hana. Ndio maana mwanamke alitoka kwa mwanaume kumbuka Adam na Hawa, Alianza Adam kisha sehemu ya Adamu(X) ilichukuliwa kumtengeneza Hawa(XX).
Na kuna vingine mwanaume hana ila mwanamke anavyo....zile alama za matiti ni za nini kwa mwanaume eti!?
 
Kwani Madada Maziwa Ya Wanaume Wenu Huwa HamuYachezei ? Kwa Mwanamke Aliyechezwa Anajua Kazi Ya Chuchu Za Mwanaume
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom