Alama ya jicho moja: Je, ni ishara katika vikundi vya siri, ishara katika Uungu (Ukristo), ishara ya Mungu wa Misri au uwakilisho wa mpinga Kristo??

Unapokuwa ndotoni ukaota jicho au macho inatafsirika Kama upo chini ya uangalizi salama na mtukufu. Watu wa dini watasema uangalizi wa mungu. Ila all in all jamii zote zinazozotumia alama hiyo humaanisha kwamba wana uwezo mkuu wa kuyajua yaliyojificha ambayo kwayo wanayahitaji au kuyahusu.
 
Sawa sawa mkuu
Asante kwa mchango
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom