ALAMA ya 666 tuipokee, Itarahisisha mengi. Watu waache kupotosha.

ROBERT HERIEL

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
3,688
2,000
Siku ukipata ukweli wa ufunuo wa Yohana hutarudia kuandika hoyo unayo sema fikra huru sijui mawazo huru na kujigamba wewe ni mwandishi makini. Lilith ameguagiza nini? Tueleze ukweli si kurukaruka.

Sawa.

Kama mtazamo wako unadhani sijasoma habari za Yonana akiwa kisiwa cha Patmo
 
Babe la mji

JF-Expert Member
Dec 14, 2019
426
1,000
Huyu jamaa ukimchunguza kwa makini ana hoja nzito Sana.Mimi naamini Mungu yupo lakini hatumuabudu ipasavyo kwa Sababu maandiko mengi Yana ulaghai mkubwa Sana ndani yake .

Mfano Adamu na Eva ndo watenda dhambi wa kwanza eti na sisi Leo tumepata laana ya hao watu Sasa je babako akiua mtu atahukumiwa yeye au watoto wake?Kwa maana hiyo binadamu Wana Hekima kuliko Mungu? Haingii akilini.

Pia kwa mujibu wa maandiko Mungu anajua Kila kitu manake anajua yalipotita,yaliyopo na yajayo Sasa kwa nini alimuumba Shetani wakati anajua atakuja kuleta matatizo?

Ikumbukwe pia kwamba dini za kikiristo na Islamic zimekuja juzi tu takilibani miaka 2000 iliuopita na huko nyuma zilikiwepo dini kongwe Sana kama vile Budha Sasa Leo tunaambiwa eti kama wewe humjui Yesu au mtume Mohamedi huendi mbinguni Sasa je Hao watu wa zamani walioishi kabla ya hizi dini watenda motoni?
Hii Dunia Ina mambo mengi Sana .
 
Babe la mji

JF-Expert Member
Dec 14, 2019
426
1,000
Mkuu ROBERT HERIEL umepewa shilingi ngapi kuja kuwapigia chapuo 666? Hao jamaa kiufupi wanaenda kasi sana ila kwenye negative line.

Wanataka tuhalalishe ndoa za jinsia moja kwa kigezo za uhuru wa watu. Wameshatuaminisha mwanaume na mwanamke haki sawa, mpaka sasa ni chaos.

Mwisho wamehalalisha abortion (kutoa mimba) na mpaka sasa ulaya watu wanaona ni kawaida.

Sasa hivi wapo kwenye projects za kuzalishwa watoto maabara.

Uzazi wa mpango na vita vya kibaolojia, wametuletea UKIMWI ili tusifurahie mema ya nchi.

Lengo lao binadamu wasio na faida (waafrika) wapungue duniani. Wanajiona bora kuliko wengine.

Mpango wa Mungu ni tuzaliane wao wanapinga.

Kama kuna hela umepewa rudisha mkuu hao ndio wanataka kututawala. Lengo la Mungu tuwe huru ila tufuate sheria zake tu.
Kuzaliana bila mpangilio ni kosa kubwa Sana Mana utazaa vibaka na makahaba .Zaa kulingana na uwezo wako wa kiuchumi,Uzae watoto ambao Watakua kimwili kiroho na kiuchumi.
 
Babe la mji

JF-Expert Member
Dec 14, 2019
426
1,000
Ya kimungu pembe moja ndio inaangalia juu ya satanism pembe mbili ndio zinaangalia juu
Mshana Jr:Hivi unajua Lucifer na Yesu wote ni watoto wa Mungu?Na ugomvi wao ni swala la urithi?Na baba yao anawapenda wote na ushahidi upo kwenye kisa Cha Nabii Ayubu .Shetani aliongea na Mungu akamluhusu amjalibu kwa hali hiyo hawana ugomvi .
Ukitaka kuprove hili Jambo kama mtu kashikwa na mapepo ukatumia jina la Mungu kuyakemea mapepo yatoke hayatatoka hadi utumie jina la Yesu.
Kwa hiyo ugomvi wa Yesu na Shetani ni WA ndugu wawili ambao ishu kubwa ni urithi.Shetani ni mkubwa na Yesu ni mdogo kwa uumbaji wao hivo Shetani anapinga mdogo wake kupata haki ya kurithi anaona kwamba haki yake imepokonywa.
 
Mafiningo

JF-Expert Member
Sep 5, 2016
4,103
2,000
666 bado ni fumbo kubwa kwa wanadamu. Naona vichwa vinatapatapa kujua ni nini. Wapo wengi wanaosema chanjo dhidi corona ndiyo 666.

Walakini kuna jambo umeliongea kati ya hao unaowaita UTH 06 na UTH 07.

Jana tulikuwa na mjadala juu ya hao 06 na 07.
07 wamekiliri wenyewe kuwa ukandamizaji wao ndio uliopelekea watu wanaowaongoza kuwa nyuma/chini kielimu kiasi kwamba mambo ya kitaalamu wamekuwa wakiwategemea 07.

666 bado ni fumbo.
 
May 13, 2021
91
125
Mshana Jr:Hivi unajua Lucifer na Yesu wote ni watoto wa Mungu?Na ugomvi wao ni swala la urithi?Na baba yao anawapenda wote na ushahidi upo kwenye kisa Cha Nabii Ayubu .Shetani aliongea na Mungu akamluhusu amjalibu kwa hali hiyo hawana ugomvi .
Ukitaka kuprove hili Jambo kama mtu kashikwa na mapepo ukatumia jina la Mungu kuyakemea mapepo yatoke hayatatoka hadi utumie jina la Yesu.
Kwa hiyo ugomvi wa Yesu na Shetani ni WA ndugu wawili ambao ishu kubwa ni urithi.Shetani ni mkubwa na Yesu ni mdogo kwa uumbaji wao hivo Shetani anapinga mdogo wake kupata haki ya kurithi anaona kwamba haki yake imepokonywa.
Upotishaji mkubwa huu. Yesu hana undugu na shetani na wala sio mdogo wa ibirisi
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
173,180
2,000
Mshana Jr:Hivi unajua Lucifer na Yesu wote ni watoto wa Mungu?Na ugomvi wao ni swala la urithi?Na baba yao anawapenda wote na ushahidi upo kwenye kisa Cha Nabii Ayubu .Shetani aliongea na Mungu akamluhusu amjalibu kwa hali hiyo hawana ugomvi .
Ukitaka kuprove hili Jambo kama mtu kashikwa na mapepo ukatumia jina la Mungu kuyakemea mapepo yatoke hayatatoka hadi utumie jina la Yesu.
Kwa hiyo ugomvi wa Yesu na Shetani ni WA ndugu wawili ambao ishu kubwa ni urithi.Shetani ni mkubwa na Yesu ni mdogo kwa uumbaji wao hivo Shetani anapinga mdogo wake kupata haki ya kurithi anaona kwamba haki yake imepokonywa.
Kwa hiyo ugomvi wa Yesu na Shetani ni WA ndugu wawili ambao ishu kubwa ni urithi.Shetani ni mkubwa na Yesu ni mdogo kwa uumbaji wao hivo Shetani anapinga mdogo wake kupata haki ya kurithi anaona kwamba haki yake imepokonywa.Duh
 
Dumas the terrible

JF-Expert Member
Jan 20, 2021
1,768
2,000
Wewe ndiye maana harisi ya shabiki maandazi
I'd Yako inasanifu akili zako zilivyo ushazeeka wewe huna ulijualo zaidi ya propaganda mlizoaminishwa zama za ujima this is New generation hakuna kitu kinafichwa Kila kitu kipo wazi via technology tatizo watu Kama nyie mmebaki mmekumbatia nadharia uchwara za kianology wakati wenzenu ndio tunaenda kuitengeneza New World
Vizee vibishi Kama nyie mtaachwa nyuma na Kila kitu mtaona miujiza tu Kwa project zinazoendelea na mtaendelea kuamini et ni mpango wa mashetani kuitawala Dunia na nyie mnamsubilia mwokozi hewa arudi Huku wenzenu wanasonga mbele!
 
Mtumaini Mungu

JF-Expert Member
Aug 3, 2021
875
1,000
Mshana Jr:Hivi unajua Lucifer na Yesu wote ni watoto wa Mungu?Na ugomvi wao ni swala la urithi?Na baba yao anawapenda wote na ushahidi upo kwenye kisa Cha Nabii Ayubu .Shetani aliongea na Mungu akamluhusu amjalibu kwa hali hiyo hawana ugomvi .
Ukitaka kuprove hili Jambo kama mtu kashikwa na mapepo ukatumia jina la Mungu kuyakemea mapepo yatoke hayatatoka hadi utumie jina la Yesu.
Kwa hiyo ugomvi wa Yesu na Shetani ni WA ndugu wawili ambao ishu kubwa ni urithi.Shetani ni mkubwa na Yesu ni mdogo kwa uumbaji wao hivo Shetani anapinga mdogo wake kupata haki ya kurithi anaona kwamba haki yake imepokonywa.
Hahahahaha

mbona unapoteza sifa ya jina lako, kwa tafakuri hii unafaa uitwe "zembe/legevu/tepetepe la mji"

Umetepeta..
 
kipara20

JF-Expert Member
Jul 30, 2021
1,012
2,000
I'd Yako inasanifu akili zako zilivyo ushazeeka wewe huna ulijualo zaidi ya propaganda mlizoaminishwa zama za ujima this is New generation hakuna kitu kinafichwa Kila kitu kipo wazi via technology tatizo watu Kama nyie mmebaki mmekumbatia nadharia uchwara za kianology wakati wenzenu ndio tunaenda kuitengeneza New World
Vizee vibishi Kama nyie mtaachwa nyuma na Kila kitu mtaona miujiza tu Kwa project zinazoendelea na mtaendelea kuamini et ni mpango wa mashetani kuitawala Dunia na nyie mnamsubilia mwokozi hewa arudi Huku wenzenu wanasonga mbele!

Mkuu wewe ushavimbiwa matango pori huna unachokijua?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom