Alama nyekundu inamaanisha nini kwenye Bendera ya Rais?

Jahmercy

Senior Member
Sep 19, 2010
116
78
Leo nimeona bendera ya rias wa jamhur ya muungano wa Tanzania ikiwa na rangi nyekundu. Nilikuwa naomba ufafanuzi kwa anayefaham hiyo rangi inawakilisha nini ktk bendera ya rais.

Pia soma;

Acha pumba Bendera ya raisi ina rangi ya Kijani na Blue pekee hakuna red
 
Be polite buddy, he/she has posed a question and not a conclusion, you know what a question can't be a proposition therefore a question can't be a conclusion. Labda ingekuwa bora tumweleze kuwa aloiona siyo bendera ya rais ni kitu kingine. Ujue unaposema acha pumba inaonesha kuwa huyo jamaa kainsist ki2 kisicho cha kweli. Ni ushauri tu mkuu, take it or leave it!
 
Katafute miwani
 
Hakuna red labda bendera ya jeshi kama ulifananishaa na ya rais maana jeshi wanayo yao pia walikuwa wameishika wale wanaopiga baragumu juu pale ukutani....
 
Acha pumba Bendera ya raisi ina rangi ya Kijani na Blue pekee hakuna red

Bendera ya Rais ina mbalimbali ikiwemo RED.Nyuma ya Rais ni bendera ya Taifa na nyuma ya Mzungu ni Bendera ya Rais. JIONEE MWENYEWE
Tanzania's President and Flag.jpg
Tanzania's President Flag.GIF
 
Wewe ndo pumba , nyekundu ipo kwenye nembo ya taifa pale kwenye ngao. Mpe jibu. nadhani kwa sababu ya babu zetu wa majimaji, Urambo, Mwanza walikufa kupinga ukoloni
Rangi nyekundu iko kwenye nembo ya taifa ambayo ipo katikati kwenye bendera ya rais

Rangi nyekundu katika bendera ya taifa huwakilisha ardhi yenye rutuba (fetile soil/land)
 
Be polite buddy, he/she has posed a question and not a conclusion, you know what a question can't be a proposition therefore a question can't be a conclusion. Labda ingekuwa bora tumweleze kuwa aloiona siyo bendera ya rais ni kitu kingine. Ujue unaposema acha pumba inaonesha kuwa huyo jamaa kainsist ki2 kisicho cha kweli. Ni ushauri tu mkuu, take it or leave it!
Safi sana mkuu umemjibu vema,tatizo la middle class wa kitanzania ni pamoja na kuwa mbali na hali halisi iliyopo on the ground,wanakurupuka kwa kila kitu mfano mzuri hapo juu umeuongelea;na haya ndio matunda ya elimu ya UPE na zile sekondari za kata zilizoanzishwa bila ya Maandalizi.
 
Be polite buddy, he/she has posed a question and not a conclusion, you know what a question can't be a proposition therefore a question can't be a conclusion. Labda ingekuwa bora tumweleze kuwa aloiona siyo bendera ya rais ni kitu kingine. Ujue unaposema acha pumba inaonesha kuwa huyo jamaa kainsist ki2 kisicho cha kweli. Ni ushauri tu mkuu, take it or leave it!
Well said.. give them lessons
(( baadhi yetu tunahitaji somo la kiistaarabu))
 
Be polite buddy, he/she has posed a question and not a conclusion, you know what a question can't be a proposition therefore a question can't be a conclusion. Labda ingekuwa bora tumweleze kuwa aloiona siyo bendera ya rais ni kitu kingine. Ujue unaposema acha pumba inaonesha kuwa huyo jamaa kainsist ki2 kisicho cha kweli. Ni ushauri tu mkuu, take it or leave it!
Shukrqn
 
Rangi nyekundu iko kwenye nembo ya taifa ambayo ipo katikati kwenye bendera ya rais

Rangi nyekundu katika nembo ya taifa huwakilisha ardhi yenye rutuba (fetile soil/land)
Mkuu hapa sio umetulisha pumba?? Rangi nyekundu katika bendera ya Raisi inawakilisha ardhi yenye rutuba! Bora ungesema maamlaka ya mkuu wa nchi ama kuenzi mashujaa wetu.
 
Be polite buddy, he/she has posed a question and not a conclusion, you know what a question can't be a proposition therefore a question can't be a conclusion. Labda ingekuwa bora tumweleze kuwa aloiona siyo bendera ya rais ni kitu kingine. Ujue unaposema acha pumba inaonesha kuwa huyo jamaa kainsist ki2 kisicho cha kweli. Ni ushauri tu mkuu, take it or leave it!
Thanks brother.
 
Damu au blood sacrifice, wewe hushangai hawa gambas kuua wananchi kwao ni kitu cha kawaida kabisa, ili mradi wabaki madarakani, kwenda kuzimu kunataka blood sacrifice huwezi enda hivi hivi maana wao huko ndio nyumbani kwao wanakoenda kupata nguvu za kuwafanya waendelee kuwepo madarakani.

Fanya uchunguzi wewe mwenyewe utaona kila rais anaingia madarakani kutakuwa ajari iliyoua watu wengi kwa mpigo yaani zaidi ya mia na kuendelea, na ukiangalia ni kama ajari zinazofanana, kwa aina fulani, hawa gambas wana survive madarakani kwa kutoa kafara ya damu za wananchi na si vinginevyo, na ndio maana ukiwapa sababu ya kuua wanaitumia mara moja.
 
Labda ni kwa sababu ya anayewaongoza ni watu wenye damu hivyo ni busara kutumia weledi ili pasitokee machafuko au maangamizi ya watu wake. (rangi nyekundu ndio kiapo cha Rais).
 
Nakumbuka kpindi cha kampen kuna mgombea wa ssm amewahi kuwambia watu "msiichague chadema ina bendera yenye rangi nyekundu inayoashiria vita mda wowote ..... wajinga walishangilia saaaana nashukuru Mungu namba inasomwa na wote kwa nguvu
 
Wewe ndo pumba , nyekundu ipo kwenye nembo ya taifa pale kwenye ngao. Mpe jibu. nadhani kwa sababu ya babu zetu wa majimaji, Urambo, Mwanza walikufa kupinga ukoloni
Charii angu hivi unajua quotation yako ime-quote comment ya 2010?
 
Back
Top Bottom