Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 19,526
- 37,941
Hahahahahmkuu kuwa serious..alafu wababa nd wanajibu kweli ccm imetuweza
Hahahahahmkuu kuwa serious..alafu wababa nd wanajibu kweli ccm imetuweza
Hio inaondoka yenyewe ,kikubwa punguza kuvaa bra mda wote ,acha kulala na bra pia ukimaliza mizunguko ya sikunzima ukishao ga usivae bra hadi kesho itaisha.
Siri kuu ni kuvaa bra ya size yakoHabari zenu wanawake wenzangu..
Hivi hizi alama za brazia huwa inawezekanika kutoka kweli? naamanisha zile sehemu inayopita brazia..inaacha mark mno jaman..nimeanza jichukia
Je kuna dawa yyt au mafuta yyt yanayoweza kusaidia kutoa!?yaan inafikia hatua unashindwa kuvaa backdress..au nguo zifananazo ..kama offshoulder!sio mabegani tu ni had huku mgongoni...itafikia kipindi ht kwenda beach tutaogopa..!hebu nataka jua na nyie zinawatokea..at first nilikua nalala na bra.. (mazoea mabaya)sasa hv nimeacha ila alama bado tu😢😢😢😢😢!
cc.
Nalendwa ,Shunie espy Heaven Sent Meeyah !
Mhh rangi sidhan km ni sababu😂😂😂kama naanza kukuamini..napenda bra nyeusi asikuambie mtu..dadek.huenda kuna ukweli bwana..nyeupe navaa occasionally
Yes..nashinda juani my dear . hv nw nmetafta za blown na whteMhh rangi sidhan km ni sababu
Unless km unashinda juan
Black bra is the best cz hazitokei knwy nguo
Siri kuu ni kuvaa bra ya size yako
ijue kabisa mf mimi najijua ni 34 C..and dont wear ndogo...ukinenepa nyonyo nayo inakua jipime for comfort
Bora uvae kubwa
Ndogo zigawe ama tupa kabisaa
Makovu masage tu mafuta yako ya kila siku overtime itaisha
Ni kama kiatu
Usivae cha kubana utatoa alama miguuni
Usilale na bra
Tumia salt/ sugar scrub with virgin coconut oil to srub your body.Habari zenu wanawake wenzangu..
Hivi hizi alama za brazia huwa inawezekanika kutoka kweli? naamanisha zile sehemu inayopita brazia..inaacha mark mno jaman..nimeanza jichukia
Je kuna dawa yyt au mafuta yyt yanayoweza kusaidia kutoa!?yaan inafikia hatua unashindwa kuvaa backdress..au nguo zifananazo ..kama offshoulder!sio mabegani tu ni had huku mgongoni...itafikia kipindi ht kwenda beach tutaogopa..!hebu nataka jua na nyie zinawatokea..at first nilikua nalala na bra.. (mazoea mabaya)sasa hv nimeacha ila alama bado tu!
cc.
Nalendwa ,Shunie espy Heaven Sent Meeyah !
Tumia salt/ sugar scrub with virgin coconut oil to srub your body.
Ntaifanya hii best..asante sana
Wacheka nn😅😅😅😅😅