Alama hizi za bra zinatokaje?

Usife jomoniii,.unipe eksipiriensi day one ilikuwaje honeymoon😂🏃🏃👌


hahahhaa nilishinda nalia tu siwez kitu..nikiona dyudyu la yuyu nazmia kbs yaan😂😂😂kuishika ndo natapika kbs😂😂😂..ni bora ubatizo wa moto my dear ..usijaribu ss from there kila sk unataabisha kiuno chako
 
Daah Ulikua Unalala Na Bra ? Polee Sana
Kama Matiti makubwa Usivae mara kwa mara sile za Kuboost
Punguza Pia Muda Wa Kuvaa Izo
Cha Mwishoo JIKUBARI
 
Daah Ulikua Unalala Na Bra ? Polee Sana
Kama Matiti makubwa Usivae mara kwa mara sile za Kuboost
Punguza Pia Muda Wa Kuvaa Izo
Cha Mwishoo JIKUBARI


Nimepunguza sana hata muda huu sijavaa..😊😊😊...naona matokeo sio mabaya sana..Ile ilivyokuwa ni ngumu kujikubali ilinichonga kba mabegani humu na mgongoni..khaa
 
Back
Top Bottom