Dingi ????
Imebidi niangalie kama nnazo mi sijaziona.Bra nnazovaa zinabana kiasi ila nkisharudi Tu kazini navua mpaka siku inayofata ndo navaa tena.
Unavaa bra inakubana sana shogaa??!
Huu uzi unauchochezi,watu tunavuta taswira tu ya boobs za mtu
Ukirudi Tu kazini jitahidi uvue usilale nayo.Mi nnavovua Tu ndo kunakua na kialama nkishaoga nkakaa mda sioni alama.Haibani wala nn shoga kawaida kbs ..nahis navaa muda mref maana ht usk jikioga mir najikuta nishavaa..nw nimeweza kuacha kidg..
Ukirudi Tu kazini jitahidi uvue usilale nayo.Mi nnavovua Tu ndo kunakua na kialama nkishaoga nkakaa mda sioni alama.
Ukirudi Tu kazini jitahidi uvue usilale nayo.Mi nnavovua Tu ndo kunakua na kialama nkishaoga nkakaa mda sioni alama.
Ilikuwa nije pm nimeghairi...Habari zenu wanawake wenzangu..
Hivi hizi alama za brazia huwa inawezekanika kutoka kweli? naamanisha zile sehemu inayopita brazia..inaacha mark mno jaman..nimeanza jichukia
Je kuna dawa yyt au mafuta yyt yanayoweza kusaidia kutoa!?yaan inafikia hatua unashindwa kuvaa backdress..au nguo zifananazo ..kama offshoulder!sio mabegani tu ni had huku mgongoni...itafikia kipindi ht kwenda beach tutaogopa..!hebu nataka jua na nyie zinawatokea..at first nilikua nalala na bra.. (mazoea mabaya)sasa hv nimeacha ila alama bado tu!
cc.
Nalendwa ,Shunie espy Heaven Sent Meeyah !
Sawa sawa mkuuIlikuwa nije pm nimeghairi...
Am just kidding...Sawa sawa mkuu
Am just kidding...
Hivi usipo vaa kabisa itakuwaje?
Kama maziwa ni madogo usivae,
Unavaa zinazobana?
Mwezio mbona havaagi?Haiwezekani kabisa mkuu...Mfano wako Ni kama useme Watanzania wasikatwe kodi..nchi itajiendesha yenyewe watoto wataota ...
ana raha..mm tofautiMwezio mbona havaagi?
Sema yy vidogo
poleni sana wanawake, kwa maswahibu mnayopitia...Habari zenu wanawake wenzangu..
Hivi hizi alama za brazia huwa inawezekanika kutoka kweli? naamanisha zile sehemu inayopita brazia..inaacha mark mno jaman..nimeanza jichukia
Je kuna dawa yyt au mafuta yyt yanayoweza kusaidia kutoa!?yaan inafikia hatua unashindwa kuvaa backdress..au nguo zifananazo ..kama offshoulder!sio mabegani tu ni had huku mgongoni...itafikia kipindi ht kwenda beach tutaogopa..!hebu nataka jua na nyie zinawatokea..at first nilikua nalala na bra.. (mazoea mabaya)sasa hv nimeacha ila alama bado tu!
cc.
Nalendwa ,Shunie espy Heaven Sent Meeyah !
Shogaa jomoniii ulikuwa unavaa bra kwa bed usiku na mumeo akiwepo??lol,.๐๐๐๐hii ndio shida ya kuolewa bikira (kidding)Haibani wala nn shoga kawaida kbs ..nahis navaa muda mref maana ht usk jikioga mir najikuta nishavaa๐๐๐..nw nimeweza kuacha kidg..
Shogaa jomoniii ulikuwa unavaa bra kwa bed usiku na mumeo akiwepo??lol,.๐๐๐๐hii ndio shida ya kuolewa bikira (kidding)
Woiiii...namm naendelea kuitunza yangu jomoniii ๐๐คYaan mazoea mabaya sana..kwakweli shida ya kuolewa bikra ndo hii naiona sasa๐๐๐๐๐ช
๐๐๐๐๐๐ nakufa mm leoWoiiii...namm naendelea kuitunza yangu jomoniii ๐๐ค
Usife jomoniii,.unipe eksipiriensi day one ilikuwaje honeymoon๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ nakufa mm leo