Alama hizi za bra zinatokaje?

Imebidi niangalie kama nnazo mi sijaziona.Bra nnazovaa zinabana kiasi ila nkisharudi Tu kazini navua mpaka siku inayofata ndo navaa tena.
 
mimi had huku nyuma mgongon kumeweka alama kbs...argghh...sema unavua mm najisahau kbs
 
Habari zenu wanawake wenzangu..
Hivi hizi alama za brazia huwa inawezekanika kutoka kweli? naamanisha zile sehemu inayopita brazia..inaacha mark mno jaman..nimeanza jichukia

Je kuna dawa yyt au mafuta yyt yanayoweza kusaidia kutoa!?yaan inafikia hatua unashindwa kuvaa backdress..au nguo zifananazo ..kama offshoulder!sio mabegani tu ni had huku mgongoni...itafikia kipindi ht kwenda beach tutaogopa..!hebu nataka jua na nyie zinawatokea..at first nilikua nalala na bra.. (mazoea mabaya)sasa hv nimeacha ila alama bado tu!
cc.
Nalendwa ,Shunie espy Heaven Sent Meeyah !
Ilikuwa nije pm nimeghairi...
 
poleni sana wanawake, kwa maswahibu mnayopitia...
 
Haibani wala nn shoga kawaida kbs ..nahis navaa muda mref maana ht usk jikioga mir najikuta nishavaa๐Ÿ˜‰๐Ÿ˜‰๐Ÿ˜‰..nw nimeweza kuacha kidg..
Shogaa jomoniii ulikuwa unavaa bra kwa bed usiku na mumeo akiwepo??lol,.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚hii ndio shida ya kuolewa bikira (kidding)
 
Back
Top Bottom