Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi sawa tutaendelea kukaa hapa hadi hapo zitakapoishaunahis zinatoka kwa siku 2 ..zinafade taratibu
Karibu sana...kaa jamviniBasi sawa tutaendelea kukaa hapa hadi hapo zitakapoisha
Karibu sana...kaa jamviniBasi sawa tutaendelea kukaa hapa hadi hapo zitakapoisha
KumbeMie sijui kwavile cheusi mangala, sina hizo alama.
Be you.
😂😂😂mie top inayabana yanakuwa kama furushi😂😂
Hahah mkuu umenchekesha san, et kama furushi 😂😂
serious mkuu..mwanamke mwenye maziwa makubwa top.haimfai..inayakusanya pamoja
Jarib kuregeza mikanda isibane sana,pia usvae bra mda mrefu my dada
imeanza kujifade taratibu...nilienda cassandra wakanichagulia size yangu fresh...!had kieleweke😍
Umeenda hadi labor and then unaishi na Baba yako na Mama yako?wakati nipo form2 ndo manyonyo yaloanza kuota..bas nikawa naona aibu..nikawa navaa zile sports bra nalala nayo since then jaman..siwez lala bila bra..!..hii toka navunja ungo had labor mie naenda na bra..
Umeenda hadi labor and then unaishi na Baba yako na Mama yako?
haya maisha haya....
Sent using Jamii Forums mobile app
kuzaa na wababa, ni lazima uendelee kukaa kwenu.tena nimeenda mara 3 na wababa tofauti..haya maisha mkuu hayabaga fomyula kbs ..!na nina amani tu
kuzaa na wababa, ni lazima uendelee kukaa kwenu.
Maisha safi. Wazazi wako maisha yangewa ya hovyo, washakutimua long time ago
Sent using Jamii Forums mobile app
kuzaa na wababa, ni lazima uendelee kukaa kwenu.
Maisha safi. Wazazi wako maisha yangewa ya hovyo, washakutimua long time ago
Sent using Jamii Forums mobile app
labda nikuongezee mtoto wa nne.kama una dili nipe mkuu
😅😅😅😅😅Huu uzi unauchochezi,watu tunavuta taswira tu ya boobs za mtu
Dingi ????nahis huelew..yaan mm mgongon na bagan imechora kbs jaman..eti unavutiwa mm hapana nimeanza zichukia..maana janq dingi aliniona akamuask mkewenilijisikia ovyo