Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 48,264
- 53,229
Natafakari Mistari Usijekuchanganya๐ค๐ค๐ค
Kuna Ile Idara Inayohusika Na Rangi Za Bendera Ya Taifa Wakatujia Eti Njano Iitwe "Dhahabu"
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Akatengua Iwe Njano
Nawaza Hiyo Mistari Ya Njano Ama Dhahabu