Alama hizi za bra zinatokaje?

๐Ÿ˜ค๐Ÿ˜ค๐Ÿ˜ค
Natafakari Mistari Usijekuchanganya
Kuna Ile Idara Inayohusika Na Rangi Za Bendera Ya Taifa Wakatujia Eti Njano Iitwe "Dhahabu"
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Akatengua Iwe Njano



Nawaza Hiyo Mistari Ya Njano Ama Dhahabu
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Natafakari Mistari Usijekuchanganya
Kuna Ile Idara Inayohusika Na Rangi Za Bendera Ya Taifa Wakatujia Eti Njano Iitwe "Dhahabu"
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Akatengua Iwe Njano



Nawaza Hiyo Mistari Ya Njano Ama Dhahabu
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Unaonekana una haraka, utajiharibu ngozi bure. Kuwa mwenye subira, punguza matumizi ya hiyo kitu itapungua au kuondoka kabisa. Aidha, fikiria upya aina za bra unazotumia hasa material na size. Kuna material zenye nailoni kwa wingi si nzuri, naona hii hata vichupi vyenu vile kama kamba, vingi vina nailoni, mwili/ngozi haipumui, inachomeka haswa.
 
Habari zenu wanawake wenzangu..
Hivi hizi alama za brazia huwa inawezekanika kutoka kweli? naamanisha zile sehemu inayopita brazia..inaacha mark mno jaman..nimeanza jichukia

Je kuna dawa yyt au mafuta yyt yanayoweza kusaidia kutoa!?yaan inafikia hatua unashindwa kuvaa backdress..au nguo zifananazo ..kama offshoulder!sio mabegani tu ni had huku mgongoni...itafikia kipindi ht kwenda beach tutaogopa..!hebu nataka jua na nyie zinawatokea..at first nilikua nalala na bra.. (mazoea mabaya)sasa hv nimeacha ila alama bado tu๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข!
cc.
Nalendwa ,Shunie espy Heaven Sent Meeyah !


Wanawake mna tabu kweli, thats being a woman, kama utaki kuwa mwanaume... hizo alama ni pambo,zinapendeza
 
19 Reactions
Reply
Back
Top Bottom