Alama hizi za bra zinatokaje?

Duh..huwa ninatatizo nikimpenda mtu kutoka moyoni namuogopa, ngoja nijipange nione naanzaje aisee.

Sent using Jamii Forums mobile app
Haha ... unakuwa una hofu " inaelekea unaugonjwa wa kupenda wana wake wazuri sana"..... Mara nyingi hiyo hali huwa kuwa wanaume wenye tabia hizo" Haswaa tabia hiyo huwa inachukua nafasi endapo ukiwa na hali ya uchumi wa kawaida halafu upo in luv na mwanamke mzuri sana ...

Ijapo kuwa sio wanaume wote huwa wanafikwa na hiyo hali lakini ni wachache

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wanawake wenzangu..
Hivi hizi alama za brazia huwa inawezekanika kutoka kweli? naamanisha zile sehemu inayopita brazia..inaacha mark mno jaman..nimeanza jichukia

Je kuna dawa yyt au mafuta yyt yanayoweza kusaidia kutoa!?yaan inafikia hatua unashindwa kuvaa backdress..au nguo zifananazo ..kama offshoulder!sio mabegani tu ni had huku mgongoni...itafikia kipindi ht kwenda beach tutaogopa..!hebu nataka jua na nyie zinawatokea..at first nilikua nalala na bra.. (mazoea mabaya)sasa hv nimeacha ila alama bado tu!
cc.
Nalendwa ,Shunie espy Heaven Sent Meeyah !
Bado hujapata suluhisho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom