Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,472
- Thread starter
- #401
H
ivi kwanni wanaume hampendagi mbwembwe z maweaving jaman..kidg kubadilika ati...Yeah nilipo sema za asili nilikuwa na maanisha sio ..weaving .wig.au rasta zile za kichina(human maid)... hilo suala la kuwa na dawa .. haliondoi u-natural wake
Sent using Jamii Forums mobile app