Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,472
- Thread starter
- #21
Usiwe unavaa kabisa
ππππππ’π..
Usiwe unavaa kabisa
ah hana shida..ila mm nahis zinanikera..kuna nguo za mabega wazi ukivaa alama km zote
Acha au punguza mda wa kuvaa bra! Within a few months ztafutika kbsa! I recommend uvae vest (kma nguo ya cku husika inaruhusu)
Sent using Jamii Forums mobile app
Naamini nitapata alternative way
Na
Naamini nitapata alternative way
Usivae kbs..Habari zenu wanawake wenzangu..
Hivi hizi alama za brazia huwa inawezekanika kutoka kweli? naamanisha zile sehemu inayopita brazia..inaacha mark mno jaman..nimeanza jichukia
Je kuna dawa yyt au mafuta yyt yanayoweza kusaidia kutoa!?yaan inafikia hatua unashindwa kuvaa backdress..au nguo zifananazo ..kama offshoulder!sio mabegani tu ni had huku mgongoni...itafikia kipindi ht kwenda beach tutaogopa..!hebu nataka jua na nyie zinawatokea..at first nilikua nalala na bra.. (mazoea mabaya)sasa hv nimeacha ila alama bado tu!
cc.
Nalendwa ,Shunie espy Heaven Sent Meeyah !
undefinedyes,bei zetu za kawaida tu,tena ntakupa punguzo la 50%,massage duration one month,
Kama una matiti madogo, usiwe unavaa bra. Just vaa blouse nzito nzito...
Mie sijui kwavile cheusi mangala, sina hizo alama.
Be you.
Duh! Umejifungua hivi karibuni au hiyo ndio size yako ya kila siku?Kilo 2
Wait dingi aliionaje?nahis huelew..yaan mm mgongon na bagan imechora kbs jaman..eti unavutiwa mm hapana nimeanza zichukia..maana janq dingi aliniona akamuask mkewenilijisikia ovyo
Duh! Umejifungua hivi karibuni au hiyo ndio size yako ya kila siku?
Wait dingi aliionaje?
Be you.