Alama hii ni lazima uikute

Mapico

JF-Expert Member
Apr 17, 2019
556
1,270
Alama hii ya "R" kwenye mduara imekuwa ipo kweye product yoyote utakayonunua . Je nini maana ya alama hii kutumika kila sehemu wanajamii?
1080316
 
Tukiwa tunawasubiri wajuzi.

Kwa haraka Hiyo ina stands kwa bidhaa zote zinazozalishwa na watu(wafanyabiashara) wanaotambulika kisheria(Registered) juu ya shughuli zao.
 
Tukiwa tunawasubiri wajuzi.

Kwa haraka Hiyo ina stands kwa bidhaa zote zinazozalishwa na watu(wafanyabiashara) wanaotambulika kisheria(Registered) juu ya shughuli zao.
kwa Tanzania je tunaitumia hiyo maana nyingi naona ni bidhaa za nnje tu
 
Hiyo inamaanisha jina lako la biashara limesajiriwa kisheria na mtu yeyote akilitumia then anakiuka sheria......
 
Back
Top Bottom