Alalamika kulambwa lambwa na mpenzi wake kupita kiasi...zaidi ya nyoka!

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,058
WhatsApp Image 2017-01-04 at 1.26.55 PM.jpeg
 
Hajaeleza huyo mwanamme aliyempata ni mume wake au? na je aliyemzoea alikuwa hamlambi kama kenge? hayo ndio matatizo ya teknolojia na kumvulia chup* kila anaepita mbele yako. kwa mtizamo wangu huyo binti ni mdogo sana kiumri na kiufahamu, mambo yenu ya kimapenzi huwezi kuyapeleka public kiasi hiki ukidhani unamdhalilisha mwenzio, tambua na wewe unajidhalilisha sana.
Wakina Vio badilikeni.
 
Dah kajizalilisha sana huyo bi mdogo nimeangalia profile yake fb anaonekana kaolewa na pia ni mtu mwenye heshima zake
 

hata Mimi janamme la kunilamba lamba silipendi...
anakulamba lamba Kama kahaba wa kiume.
only Kiss ,tena kwa ninaemfeel.
kulambana lambana kwakweli sitaki.
 
Tatizo la kuiga hovyo kila unachoona kinafanywa na wale unafikiri ni "model" kumbe wajinga tu
 
Back
Top Bottom