COARTEM
JF-Expert Member
- Nov 26, 2013
- 3,600
- 3,651
Tabia hiyo imekuwa ikileta hasara nyingi sana kwenye mambo ya msingi ya JMT. Mfano bunge maalumu la katiba, upinzani ulivyosusa CCM wakafanya yao.
CUF walisusia uchaguzi Zanzibar, CCM wamefanya yao sasa CUF wamebaki kutoa matamko tu.
Hivi hii tabia ya kususa ninani aliyeipandikiza kwenye vyama vya UPINZANI?
Aliyeleta hiyo tabia ALAANIWE KWA KWELI. CCM siyo wa kuwasusia mambo.