Alaaniwe aliyeiua Nako2Nako Soldiers (Lord Eyes, Ibra da Hustler, G Nako, bou Nako) fufueni kundi

Babu Kijiwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2010
4,762
4,576
Kama kuna kundi lilikuwa linafanya Hip Hop mpaka unatikisa kichwa wakati wa kusikiliza basi ilikuwa Nako2Nako Soldiers na ukisikia jinsi mtu kama Lord Eyes anavyo flow yaani unahisi uko dunia nyingine.

Kwa wapenzi wa Hip Hop ngumu hili kundi lilitubeba sana. Sasa sijui bo.ya gani aliyetoa wazo la kuunganisha kundi hili na lile la warembo wa River Camp Soldiers na kuunda kundi uchwara la WEUPE. Aliyetoa wazo hili ana laana. Hebu wale wadau wote mliyokuwepo Nako2Nako tokeni huko mlipo mrudi tuendelee na safari.

Mkiwa tayari njooni PM niwaambie pakuanzia hakuna wakuwabania hapa bongo kama mko tayari mje PM. Haiwezekani mpotezwe kijinga hivi.

HII HAPA KING ALIIPIGA BAADA YA CHANGAMOTO YA KUFUNGWA

N2N Soldiers haikuungana na River Camp Soldiers baada ya kudisolve bana, sema tu makundi hayo yalipovunjika baadae sana ndio baadhi ya machalii wa pande zote mbili wakaja kutengeneza WEUSI.
 
Aaawapi, weusi ilianza kipindi N2N ipo na Rivercamp ipo badae wakafocus na weusi wakaacha asili zao...Cheki hiyo track ya Ngoma Nzito
 
Hivi Weusi si wajuzi tu hapa asee. N2N kitambo sana imevunjika.
Bora ungeuliza mkuu, sasa iko hivi huenda ulianza kuisikia weusi juzi, si kosa lako ila sisi watowo ka Kaloleni Arusha na wapenzi wote wa HIPHOP wanafahamu kwamba WEUSI ilianza siku nyingi tu ndomaana kwenye nyimbo kibao za N2N tangu 2012 wanaitaja sana weusi ila kipindi hicho wana hiphop wa hizi camp 2 kwapamoja ndo walijiita weusi na hata kwenye interviews zao walisisitiza kuwa nako2nako inaendelea na river camp itaendelea ila weusi ni muunganiko tu wa ku show love kwa makundi haya ya A town. Baada ya muda huyu kijana anayejitangaza kuwa yeye ni genius akaongoza mchakato wakasajili kampuni ya WEUSI (huenda ulianza kuifahamu weusi hapo) akajitahidi kui brand na hilo likafanya watumie muda mwingi kwenye weusi kuliko river camp na n2n... najua huenda unafikiri kuwa Ibra alivyojitoa n2n ilikufa la hasha. ukibisha ntakupa reference ya nyimbo kuthibitisha haya... au sikiliza nyimbo zote hapo juu kuna nyimbo kadhaa wanataja nako2nako wanapoanza na ndani ya wimbo wanataja weusi so kusema kuwa kipindi weusi imeanza nako2nako ilishakufa kitambo ni kututhibitishia kuwa huna mapenzi kihivyo na hawa wana ndomaana hujui historia yao.
 
Kama kuna kundi lilikuwa linafanya Hip Hop mpaka unatikisa kichwa wakati wa kusikiliza basi ilikuwa Nako2Nako Soldiers na ukisikia jinsi mtu kama Lord Eyes anavyo flow yaani unahisi uko dunia nyingine.

Kwa wapenzi wa Hip Hop ngumu hili kundi lilitubeba sana. Sasa sijui bo.ya gani aliyetoa wazo la kuunganisha kundi hili na lile la warembo wa River Camp Soldiers na kuunda kundi uchwara la WEUPE. Aliyetoa wazo hili ana laana. Hebu wale wadau wote mliyokuwepo Nako2Nako tokeni huko mlipo mrudi tuendelee na safari.

Mkiwa tayari njooni PM niwaambie pakuanzia hakuna wakuwabania hapa bongo kama mko tayari mje PM. Haiwezekani mpotezwe kijinga hivi.

HII HAPA KING ALIIPIGA BAADA YA CHANGAMOTO YA KUFUNGWA

Tunakuja pm mkuu
 
Bora ungeuliza mkuu, sasa iko hivi huenda ulianza kuisikia weusi juzi, si kosa lako ila sisi watowo ka Kaloleni Arusha na wapenzi wote wa HIPHOP wanafahamu kwamba WEUSI ilianza siku nyingi tu ndomaana kwenye nyimbo kibao za N2N tangu 2012 wanaitaja sana weusi ila kipindi hicho wana hiphop wa hizi camp 2 kwapamoja ndo walijiita weusi na hata kwenye interviews zao walisisitiza kuwa nako2nako inaendelea na river camp itaendelea ila weusi ni muunganiko tu wa ku show love kwa makundi haya ya A town. Baada ya muda huyu kijana anayejitangaza kuwa yeye ni genius akaongoza mchakato wakasajili kampuni ya WEUSI (huenda ulianza kuifahamu weusi hapo) akajitahidi kui brand na hilo likafanya watumie muda mwingi kwenye weusi kuliko river camp na n2n... najua huenda unafikiri kuwa Ibra alivyojitoa n2n ilikufa la hasha. ukibisha ntakupa reference ya nyimbo kuthibitisha haya... au sikiliza nyimbo zote hapo juu kuna nyimbo kadhaa wanataja nako2nako wanapoanza na ndani ya wimbo wanataja weusi so kusema kuwa kipindi weusi imeanza nako2nako ilishakufa kitambo ni kututhibitishia kuwa huna mapenzi kihivyo na hawa wana ndomaana hujui historia yao.
Hakuna aliyekuzuia kulifufua
 
Da umenikumbusha Ibra sijui yuko wapi siku hizi. Miaka ya 2006 kama sikosei alikua anakuja sana Migo kwa dada yake. Dada yake alikua mhuni kinyama.
 
Back
Top Bottom