Alaah! Kumbe

Prisoner

Senior Member
Jan 26, 2010
119
0
Habari wana JF nimepigiwa simu na Best yangu analalamika sana kuhusu hizi Blog zinazoitwa za Jamii na sio hii ya www.jamiiforums.com hii inatenda khaki bin khaki ila sasa hizi nyingine blaaa. Jamaa anasema alipost katika blog mojawapo ambayo inajiita ya Jamii kumbe ya Biashara sasa cha kufanya alipost picha zake ziwekwe mule cha ajabu hazikuwekwa akamuuliza rafiki yake kulikoni? Jamii alimwambia wewe hujui mpaka mwenye blog umwalike anywe bia zako ndio utakuwa ukituma post zinawekwa kwenye hiyo blog, Jamaa alipo muuliza kulikoni alisema achana na mimi ni heri ya mchukuzi... sasa nilishindwa kuelewa kwanini alijibu hivyo au jamaa alipiga kwenye buu??. hata ukiangalia karibia picha nyingi jamaa kaalikwa si tu kula na kumpa kazi hata hela unampa. Sasa najiuliza hii blog ya Jamii au ya Biashara. Jamani tuweni macho maana kumbe wenzetu wanaweka maslahi binafsi.Hii nawashauri msiitembee kabisa ni kheri ukafia humu humu kwenye khaki ya ukweli na tunaomba wadau tuchangie ili tuiboreshe hii www.jamiiforums.com kwani ni kioo cha jamii. Big up maxenxe na wadau wengine nipo nyuma yenu endeleeni kutuimarishia hii blog na mimi nimeshatoa kamchango kangu.
 
Jamani vipi wana JF mbona Kimya hatuchangii hii mada au imenikuta peke yangu????????
 
blog hata wewe si unaweza ukaanzisha na kuweka picha zako zooooote. tena bure .i mean free ov charge
 
habari wana jf nimepigiwa simu na best yangu analalamika sana kuhusu hizi blog zinazoitwa za jamii na sio hii ya www.jamiiforums.com hii inatenda khaki bin khaki ila sasa hizi nyingine blaaa. Jamaa anasema alipost katika blog mojawapo ambayo inajiita ya jamii kumbe ya biashara sasa cha kufanya alipost picha zake ziwekwe mule cha ajabu hazikuwekwa akamuuliza rafiki yake kulikoni? Jamii alimwambia wewe hujui mpaka mwenye blog umwalike anywe bia zako ndio utakuwa ukituma post zinawekwa kwenye hiyo blog, jamaa alipo muuliza kulikoni alisema achana na mimi ni heri ya mchukuzi... Sasa nilishindwa kuelewa kwanini alijibu hivyo au jamaa alipiga kwenye buu??. Hata ukiangalia karibia picha nyingi jamaa kaalikwa si tu kula na kumpa kazi hata hela unampa. Sasa najiuliza hii blog ya jamii au ya biashara. Jamani tuweni macho maana kumbe wenzetu wanaweka maslahi binafsi.hii nawashauri msiitembee kabisa ni kheri ukafia humu humu kwenye khaki ya ukweli na tunaomba wadau tuchangie ili tuiboreshe hii www.jamiiforums.com kwani ni kioo cha jamii. Big up maxenxe na wadau wengine nipo nyuma yenu endeleeni kutuimarishia hii blog na mimi nimeshatoa kamchango kangu.

tehetehetehe tehe tehe.
Hivi hiki ni kitendawili tukupe mji au ni habari.
Huyo mwenye hiyo blog ni masikini namba moja wa fikra.
Anajitia aibu yeye na blog yake, na bia za bure zitamtokea puani.
 
Tena mkulu Sumbalawinyo jaribu na wewe uone vituko vyake kwani du!! na mimi nipo nje ya nchi sasa nitazipost kwenye www.jamiiforums.com upande wa picha pia namshauri mods angeweka junior Jamiiforums iwe ni spesho kwa picha mchanganyiko kwani nafikiri umenielewa kuwe na kipengele hicho nasisi tujisikie kwani Maxenc na wewe una mtoto sasa besdei yake una post wapi???
 
Pole sana Prisoner mungu yupo muombe mods.aweke hicho ulichoomba na huyu Jamaa anajiabisha kwani hata mimi nimeshasikia kwa wangu kibao wanalalamika sana juu ya hilo
 
Si mumfikishie tu ujumbe direct jamani sasa mi ntachangia nini wakati simjui zaidi ya kusema sio vizuri kama anafanya hivyo
 
Back
Top Bottom