Prisoner
Senior Member
- Jan 26, 2010
- 119
- 0
Habari wana JF nimepigiwa simu na Best yangu analalamika sana kuhusu hizi Blog zinazoitwa za Jamii na sio hii ya www.jamiiforums.com hii inatenda khaki bin khaki ila sasa hizi nyingine blaaa. Jamaa anasema alipost katika blog mojawapo ambayo inajiita ya Jamii kumbe ya Biashara sasa cha kufanya alipost picha zake ziwekwe mule cha ajabu hazikuwekwa akamuuliza rafiki yake kulikoni? Jamii alimwambia wewe hujui mpaka mwenye blog umwalike anywe bia zako ndio utakuwa ukituma post zinawekwa kwenye hiyo blog, Jamaa alipo muuliza kulikoni alisema achana na mimi ni heri ya mchukuzi... sasa nilishindwa kuelewa kwanini alijibu hivyo au jamaa alipiga kwenye buu??. hata ukiangalia karibia picha nyingi jamaa kaalikwa si tu kula na kumpa kazi hata hela unampa. Sasa najiuliza hii blog ya Jamii au ya Biashara. Jamani tuweni macho maana kumbe wenzetu wanaweka maslahi binafsi.Hii nawashauri msiitembee kabisa ni kheri ukafia humu humu kwenye khaki ya ukweli na tunaomba wadau tuchangie ili tuiboreshe hii www.jamiiforums.com kwani ni kioo cha jamii. Big up maxenxe na wadau wengine nipo nyuma yenu endeleeni kutuimarishia hii blog na mimi nimeshatoa kamchango kangu.