doublep
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 241
- 152
Wapendwa ndg zanguni wana JF, Kwanza habarini za wakti huu...., kwa upande wangu Mungu ni mwema amenijalia uzima.
Twende moja kwa moja kwenye mada,
Naomba kwanza ifahamike kuwa mimi binafsi ni mdau wa muda mrefu katika mada tajwa na ni kati ya wale twaweza sema ni "Addicted" katika hili.
kwa bahati mbaya sijawahi ona mtu kaleta mada ya Music notes n.k
kwa mawazo yangu katika hii thread twaweza fanya yafuatayo;
Najua kama mwanadamu naweza kuwa nimekosea katika uandishi au vinginevyo, najua wana JF ni waelewa sana mtanivumilia.
Naomba kuwasilisha.

- Kutupia nyimbo za watunzi mbalimbali (Screen shorts za ala za Muziki, PDF, Midi nk), hapa sizungumzii nyimbo za Bongo fleva R'n'B n.k
- Kuuliza kinachokusumbua katika kuchora ala za muziki au kitu kipya unachopenda kukijua katika habari ya Muziki
- Watunzi unaowapenda kutokana na utunzi wao kule Swahili music notes na wengine ambao hawapo SMN unaoweza onesha hizo nyimbo zao.
- Na mengine ambayo naweza kuwa sijayasema lakini wewe ukaona ni vema kuweka hapa.
Najua kama mwanadamu naweza kuwa nimekosea katika uandishi au vinginevyo, najua wana JF ni waelewa sana mtanivumilia.
Naomba kuwasilisha.