Al-Shabaab washambulia kambi ya Umoja wa Afrika Somalia

RUCCI

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
1,701
1,714
Wapiganaji wanaoaminika kuwa wa kundi la al-Shabab wameshambulia kambi moja ya wanajeshi wa Muungano wa Afrika iliyoko kusini mwa Somalia.

Kambi hiyo ya Eel-ade inapatikana takriban kilomita 60 kutoka kwa mji wa Garbaharey, na inatumiwa na majeshi ya Kenya.

Majeshi hayo yamo chini ya majeshi ya kulinda amani ya Muungano wa Afrika (Amisom).

Wakazi wa Eel-ade wameambia mwandishi wa BBC mjini Mogadishu kwamba wamesikia milio ya risasi na silaha nyingine kali.

Mapigano bado yanaendelea.

151112054849_kenya_troops_somalia_512x288_ap.jpg


Fighters from Somali militant group al Shabaab rammed a suicide car bomb into the gates of an African Union base in Somalia and fought their way inside early on Friday, the group and the Somali army said, and fighting was still going on.

There were no immediate reports about casualties from the attack in Ceel Cado, in the south of the country, about 550 km west of Mogadishu, near the Kenyan border.

Al Shabaab, a group aligned to al Qaeda, said the base had Kenyan soldiers serving as part of an African Union force battling the Islamist group in Somalia, a country mired in conflict since civil war broke out in 1991.

"Our fighters went in and after heavy exchange of gunfire we took over the base," Sheikh Abdiasis Abu Musab, al Shabaab’s military operations spokesman, told Reuters.

Musab added that AU soldiers fled from the base.

But a Somali military official said the fighting in the base continued. Residents said they could hear sporadic gunfire.

"A suicide car bomb exploded at the gate of the base and their fighters went in. There is heavy gunfire going on inside the base," Major Hussein Abdulle, a military officer stationed about 100 km from the Ceel Cado base, told Reuters.

Al Shabaab has in the past year staged multiple attacks against African Union bases in Somalia, part of a guerrilla-warfare strategy to drive out foreign troops and impose its harsh version of Islamic law across the Horn of African nation.


Source:
Reuters
 
Last edited by a moderator:
Binafsi sikupenda hii issue ya baadhi ya majeshi wetu wa KDF kujiunga na AU. Huko wanakua wamejianika vibaya maana AU hawajajipanga kama kambi za KDF.
 
Al-Shabab militants have overrun an African Union military base in Somalia.

The Islamist group says it has taken "complete control" of the camp and killed more than 60 Kenyan soldiers.

Militants attacked the southern el-Ade base for Somali soldiers before dawn and fighting continued for several hours, Kenya's military spokesman said.

He says Kenyan troops based nearby counter-attacked and fought the insurgents. The number of casualties was not known, he said.

A resident nearby told the BBC by phone that he heard a loud explosion at about 05:30 local time (02:30 GMT), followed by heavy gunfire.

"We then saw an al-Shabab fighter in the town. We also saw Kenyan soldiers who were fleeing from the camp.

"At the moment the camp is in the hands of al-Shabab. We can see military cars burning and dead soldiers all over the place. There are no civilian casualties but most people have fled the town."

African Union troops in Somalia are helping the UN-backed government battle al-Shabab, which is part of al-Qaeda.

Al-Shabab attacks African Union base in Somalia - BBC News
 
wakenya bhana...marekani kashindwa na ndio jeshi lake lina nguvu...sasa nyie na kiherehere chenu mnapeleka majeshi huko, haya sasa si mnaona madhara yake wanajeshiwenu wanakufa, raia wasiokuwa na hatia wanauawa...toeni haraka majeshi yenu ili nchi isalimike
 
wakenya bhana...marekani kashindwa na ndio jeshi lake lina nguvu...sasa nyie na kiherehere chenu mnapeleka majeshi huko, haya sasa si mnaona madhara yake wanajeshiwenu wanakufa, raia wasiokuwa na hatia wanauawa...toeni haraka majeshi yenu ili nchi isalimike
Wanadanganywa
Ulinzi wao ni mdogo sana
Lakini wanajifanya kichaa ngumu
 
Wanadanganywa
Ulinzi wao ni mdogo sana
Lakini wanajifanya kichaa ngumu
wakenya bhana...marekani kashindwa na ndio jeshi lake lina nguvu...sasa nyie na kiherehere chenu mnapeleka majeshi huko, haya sasa si mnaona madhara yake wanajeshiwenu wanakufa, raia wasiokuwa na hatia wanauawa...toeni haraka majeshi yenu ili nchi isalimike
Binafsi sikupenda hii issue ya baadhi ya majeshi wetu wa KDF kujiunga na AU. Huko wanakua wamejianika vibaya maana AU hawajajipanga kama kambi za KDF.
inawezekana KDF walijisahau - walikuwa kwenye deal la mkaa. KDF bana wanahitaji maombi, poleni sana majirani zetu kwa kupoteza mashujaa wenu 60.
 
Unajua kwa mataifa makubwa kulazimisha vita kunakuwa na interest Fulani kwenye nchi ile sasa cjui Wakenya labda kuna faida kubwa wanaweza ipata baada ya kushinda vita ni lini hatujui ila watapoteza wapiganaji wao wengi sana km hawatojipanga kimkakati na kizana madhubuti kwa ajili ya vita hii.
 
Tume waambia sana hawa watu



lkn hawasikii...naona wamesahau ya west gate yaliyotokea, wanakazi ya kujipendekeza kwa Obama tu waonekane wachapakazi huku raia wanazidi kuuawa...viherehere vyenu wakenya vinawaponza, mkipigwa mnaanza kulialia tu,,,, hebu badilikeni kidogo jamani
 
Last edited:
RIP wanasikitisha sana,haya ndio matatizo ya wanasiasa - hawajali kupoteza vijana wadogo kwenye adventures zao za kupenda sifa, Wamerikani wenyewe wana wagwaya Al Shabaab wanaishia kutumia madrones kubom Al Shaabab, mpaka sasa Merikani hana chochote cha kujivunia kuhusu ku contain ma terrorist Duniani, nadhani tukio hili linapaswa kulifanya jeshi la Kenya kujitadhimini upya kama kuna ulazima wowote wa wao kuendelea kuikalia Somalia. Urusi,Merikani waliondoka Afghanistani baada ya kushindwa kuwamudu ma terrorists,vita vya hit and run nivigumu kushinda mtapoteza wanajeshi na inaonejana Al Shaab wameanza kuwa bold zaidi na wameanza kutumia silaha kali zaidi. Wakipatiwa stinger na Daesh/ISIS basi fighters na chopper gunships zenu zitapata wakati mgumu.
 
Back
Top Bottom