Al-Shabaab wamuua Mtanzania Issa Jemes Mwesiga, kwa kumshtukia ni shushushu

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
16,515
28,487
A jihadist from Tanzanian has been executed in Southern Somalia, reports indicate.

Issa Jemes Mwesiga, who hailed from Tanzania was executed on April 2, 2016 at a square in Jilib town, about 400 km south of the capital Mogadishu. He was accused and sentenced to death by an Al-Shabaab court for spying.

Al-Shabaab officials said that Mwesiga was fighting alongside fellow jihadists before becoming a spy.

“Issa Jemes Mwesiga joined Al-Shabaab in 2013. Unfortunately, he has now been found guilty of spying,” said an Al-Shabaab official who spoke at the square as the Tanzanian jihadist faced a firing squad.

It is not yet clear which group or country the foreign militant was spying for.

Residents in the area, who anonymously contacted Somali National News Agency for security reasons believe that Al-Shabaab militants in the Juba territory have been affected by split loyalties to Al-Qaeda and the Islamic State in Iraq and Syria (ISIS) or IS.

“The foreign jihadist (Mwesiga) was executed by militants led by Ahmed Surad (one of the Al-Shabaab leaders in the area)” stated a resident as quoted by SONNA on Saturday.

Al-Shabaab is reckoned to have a large number of foreign jihadists widely known as al-Mujahedeen al-Muhajereen (migrant jihadists).

Source: Al Shabaab executes a Tanzanian jihadist in Southern Somalia
 
Naona serikali ya Tanzania imekwenda kuwachokoza hawa watu, mtoto akilia kamlaze usimpe wembe achezee utamka akuhangaishe usiku wa manane hospitalini.
 
Naona serikali ya Tanzania imekwenda kuwachokoza hawa watu, mtoto akilia kamlaze usimpe wembe achezee utamka akuhangaishe usiku wa manane hospitalini.
Mkuu inteligencia hainaga cha uchokozi, lazima upenyeze jicho kila mahali, ikipangwa operation huko somaland tunapata taarifa huku fastaa
 
Tatizo serikali ya Tanzania haipo kwa masilahi ya nchi na wanachi ipo kwa masilahi ya wakubwa tu. Wakubwa wanalindwa na polisi na mahakama lakini mwananchi huko ndiko anapoonewa zaidi. kwahio hata hao spy wanaopelekwa hawana faida na nchi bali kwa wakubwa kuomba mfuko wa pesa za kupigana na magaidi.
Yaani kuna majitu humu yanaandika kama hayafikirii hususani wewe. Kama ni kweli alipelekwa unadhani ni kwa faida ya nani kama si usalama wa nchi yako? Wengine humu nadhani si watanzania.
 
Yaani kuna majitu humu yanaandika kama hayafikirii hususani wewe. Kama ni kweli alipelekwa unadhani ni kwa faida ya nani kama si usalama wa nchi yako? Wengine humu nadhani si watanzania.
Na wewe ndio unajiona umefikiria kwa kiwango cha juu hapo?? Nitajie rasilimali ipi inakunufaisha wewe ukiwa kama mtanzania?
 
Huyo hakuwa ana spy kwa niaba ya serikali, kwa mujibu wa mleta thread Alshababu imegawanyika, kuna kundi linaunga mkono Al qaeda na kundi jingine IS, kwa hiyo huyo alikuwa ana spy kwa niaba ya mojawapo la hayo makundi, wale wa kundi pinzani ndio walio muua
 
"It is not yet clear which group or country the foreign militant was spying for".
 
Back
Top Bottom