Al Shabaab releases pictures of Kenyan POWs!

Situation kama ya Nigeria kule, wiki chache zilizopita, inawezekana zilimfanya FF na waislam wengine sana wafikie kwenye 'climax'! Mara nyingi nafikiri na kuamua kuwa sisi waislam tuko kati ya human beings and devilz.

Hukuwepo wakati wa Nyerere alipotutembeza na vikopo barabarani kukusanya pesa za kuwasaidia Biafra? umeshawahi kusikia? unajuwa hao ni kina nani na Nyerere pekee katika Afrika aliwaunga mkono waziwazi? walikuwa ni wakatoliki wanaodai jimbo.
 
Even Mandela was called a terrorist, to me they are freedom fighters.
FF, nazungumzia wasomali walohamia Kenya kutokana na civil war, freedom fighting gani hiyo?

Alshabab pia ni a terrorist org just kama Alkaeda.
 
i still need to understand if there is a link between the various "terrorists" who affiliate themselves with Islam and whether the Qoran blesses them. na je wanapewa baraka za mauaji hayo au ni political groups just trying to affiliate themselves na dini for cheap popularity. cz hawa shababu pia wanawaua na kuwaangamiza waislam huko somalia. kama vile makundi mengine mengi ya namna hii wanavyowaua na kuwatesa moslems kote kote.
 
Ndugu yangu Mzalendo, kwenye kichwa ya muislam mdini huwezi panda mbegu ikaota, ni sawa na kupanda mbegu ya muhogo kwenye lami!

Kwenye kichwa cha Mgalatia mdini huwezi kumshauri aache kuomba msaada '' kinyago '' akakuelewa ! Ni sawa na kumwagilia nguzo ya umeme.
 
Wakenya ni wakristo safi !?

Aha! isiwe sasa ni mambo ya kubainisha udini. uliamua kuwa muislam kaa hivyo. wagalatia pia hivo, lakini wema wala ouvu haziji kwa jina la ugaliatia au uislamu. madhumuni yako ni yapi kuwapigia ngoma alshabaab, au wewe ni mmoja wapo wa masympathizer?
 
this damn war between the kenyan army and al shabab can drag on for years - it is very tricky to fight such an undefined and elusive enemy
 
Aha! isiwe sasa ni mambo ya kubainisha udini. uliamua kuwa muislam kaa hivyo. wagalatia pia hivo, lakini wema wala ouvu haziji kwa jina la ugaliatia au uislamu. madhumuni yako ni yapi kuwapigia ngoma alshabaab, au wewe ni mmoja wapo wa masympathizer?
hupendi niwe na mtazamo wangu huru ?!
 
Back
Top Bottom